Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

Tulia wewe
msalimie Dem wako Kaka🤓.

FB_IMG_16854885764003555.jpg
 
Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.

Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)

Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena yenye kipato, sikushangaa najijua, ila sasa akabadilika, tukikutana haogi anaenda hivyo hivyo kwenye mizunguko.

Mara nikilala kwake nanyolewa nywele na yeye anakuwa wa Kwanza kuona nimenyolewa. Sasa juzi nimeacha kazi na yeye akaacha siku hiyo hiyo.

Naona hayo yote ila bado niko nae tu. Sasa saivi nikiwa nae naumwa Homa ya ajabu, (walinzi hawamtaki, wamemchoka anavyoninyanyasa)

Yani mpaka walinzi wameingilia Kati, hali ilikuwa mbaya ndugu zangu.

Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.
Kuweni makini kwenye mahusiano, kuweni makini.[emoji419][emoji375]
 
Huyo fala anayezagamua halafu haogi ulimtoa wapi wa wewe?Acheni kusomba somba na hao walinzi wako wapunguze shobo walikuwa wapi Hadi wakakuacha ukutane na Hilo dubwasha?
 
Bila Shaka utakuwa shabiki wa yanga....na hao walinzi ndio wanamsumbua Mayele.
 
hakuna watu wanajiona dunia yao kama wanaosema wamna walinzi.
mana hata akiwa na mwanaume utaskia huyu waalimu walishamkataa nilifosi tu!
kuna rafiki angu ana hao walinzi kaolewa bwana miezi 2 anataka kumuacha mana akilala mara kaota ndoto mbaya oh wanamroga
mara aone vya kuona mpaka mjamaa kachoka
 
Hao ni kutia stiki tuu akili zinawarudiii
 
Back
Top Bottom