Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
The same to memkuu baada ya bandiko lako umenifanya nidownload ngoma ya roma na niisikilize,mpaka sasa nimebaki njia panda kama yupo aniambie YEYE NI NANI SASA?
Kaisikilize mkuu huenda ukatambua kitu cha kutujulishaEbu ngoja nikaisikilize kwanza alafu nitarudi kukomenti...😊
fafanua kama umeelewa boss wangu yeye ni chama ?? kivipi sasa ,ongezea nyama nyama kidogo. na akileta mambo ya ovyo tumjue mapemaa.atakuw anazingumzia yeye ni chama🤣
mnaumiza akili Bure tu
kwanini au na wewe hujaelewa kama mimi kaka?Ngoma za Roma zinakua kali sana lakin haka kangoma hamna kitu
hujarudi tena ,Ebu ngoja nikaisikilize kwanza alafu nitarudi kukomenti...😊
Habari ndio hiyoNaskia mama anatembea na kiti kila sehem