Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Inatafakarisha Sana Ila lipo la kujifunza hongera Sana .

Maisha ya kumtumikia Mungu ni mazuri na hayajawahi kumuangusha MTU.

Mungu ni mwema .

Ndo maana sikuoni kule hata katika Uzi wa walevi .. Hakika umeamua kutakasika ....
πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ˜€
 
Kuwa makini na lugha.
Kuhasi ni kufanya nwanaume asiweze mpa mimba mwanamke.
Kuasi ni kukiuka maagizo, kwenda kinyume na utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…