Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Nanukuu: " ... nikapata wepesi wa mwili na roho.. Nikaokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku..." Nadhani pia ulipata "amani" ya pekee. Nami hali hiyo ilinitokea usiku wa Alhamisi, Desemba 23, 1993 nikiwa chumbani peke yangu wakati nasoma SUA.

Hongera sana kwa kushukiwa na neema na rehema za Mungu wetu anayetuvumilia na kuchukuliana nasi katika mengi mno. Yeye anahitaji imani yetu tu kwake.
Thanks kaka mkubwa. Kwenye ukimya na utulivu Mungu wetu huonekana
 
Ukweli Hizo roho zinazosumbua Jf
Yani kikukweli kila sehemu kuna maagents
Binafsi nikiwa na akili timamu nakiri kuwepo kwa Roho chafu JF. Kuna ambayo nimeshao
pambana nazo Spiritually.

Walozi na wachawi ni wengi JF. Ushajiuliza kwanini ukiandika chochote kuhusu Mungu utashambuliwa? Ni Roho chafu hizo.
 
Ndivyo ilivyo, Kila jambo Lina gharama ya kulipa. Ni muhimu na ni Bora kuinuka na kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom