Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

mganga na mchawi wote wako sekta moja ila tofauti ni vitengo, ndio maana ukizoea kwa waganga unaweza kuwa mchawi bila kujua.
Mganga ni yeyote anayetibu na/au pia huitwa Tabibu. Ukienda vituo vya afya kuna waganga, wengi si wachawi. Kwahiyo ipo tofauti kubwa ya uchawi na uganga, japo wengine hufanya yote.
 
Mchawi na mganga wa kienyeji utofauti wao ni madaraja tu katika ulozi lakini wote wapo kwenye kapu moja...
 
Back
Top Bottom