Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Thanks kaka mkubwa. Kwenye ukimya na utulivu Mungu wetu huonekana
 
Ukweli Hizo roho zinazosumbua Jf
Yani kikukweli kila sehemu kuna maagents
Binafsi nikiwa na akili timamu nakiri kuwepo kwa Roho chafu JF. Kuna ambayo nimeshao
pambana nazo Spiritually.

Walozi na wachawi ni wengi JF. Ushajiuliza kwanini ukiandika chochote kuhusu Mungu utashambuliwa? Ni Roho chafu hizo.
 
Ndivyo ilivyo, Kila jambo Lina gharama ya kulipa. Ni muhimu na ni Bora kuinuka na kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…