Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Vifaa tunavitaka ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mchawi na mganga wa kienyeji utofauti wao ni madaraja tu katika ulozi lakini wote wapo kwenye kapu moja...
Mganga wa kienyeji au wa asili maana yake hajatoka nje au si wa kisasa. Yeyote anayetibu kienyeji au kisasa ni mganga, na si kazima awe mchawi. Hakuna tatizo lolote la kutumia chochote kilicho cha asili/kienyeji (natural/local), ilimradi kisiwe cha ushirikina au uharibifu wa kichawi. Kuku wa kienyeji ni mtamu na ni ghali kuliko wa kisasa. Hahusiki na uchawi!

Tuna madawa yetu ya kienyeji yanatibu vizuri tu bila kuhusishwa na uchawi. Aloevera, majani ya mpera, majani ya minyanya pori, nk.; ni dawa. Mchicha, mnafu, mboga za maboga, matunda yetu ya kienyeji, ni mazuri sana kuliko nyama; na pia ni dawa na tiba. Hata waganga wa vituo vya afya hutushauri kutumia vya asili au kienyeji ili, si tu kupata lishe bora, bali pia kupata tiba ya magonjwa sugu.

Elewa kuwa si kila kilicho cha asili au kienyeji ni kibaya. Fikiria kwa upana, kina na urefu ukiwa huru pasipo kufungwa sandukuni!
 
Tafuta siku ukipata amani ya moyo utupe sababu ya wewe kuingia katika ushirikina na ulifika daraja la ngapi na ulikuwa na cheo gani
 
Ulitumia vifungu vipi vya biblia/ maombi kupigana na nguvu za giza
Kama mtu ni mchawi na nimemjua nikimfuata na kumwambia ukweli nimemtambua na aache akifanyacho je ndio atazidisha mashambulizi Mshana Jr
 
Ulitumia vifungu vipi vya biblia/ maombi kupigana na nguvu za giza
Kama mtu ni mchawi na nimemjua nikimfuata na kumwambia ukweli nimemtambua na aache akifanyacho je ndio atazidisha mashambulizi Mshana Jr
Jina la Kristo Yesu
 
Hongera mkuu lakini kumbuka vita bado inaendelea - Ukikengeuka tu, wanakujia mara7.

Uliona signs gani wakati unasali - Mwili kutetema au Sauti za vilio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ