Niliona gari ya Kapola, nikaona hotel ya Boniface then shule ya kimataifa ya Ezekiel, nikajiuliza, am I too soft for life or too harsh on my reality?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"

Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale?

Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi masikini ndio zingejenga shule bure za masikini wa kutupwa, hospitali katika kaya masikini, maana huo ndio upendo wa Kikristu.

Je sisi ni wavivu, wa kuzidi kudidimia kwa kuendana na protocols wanazo tuhubiria, kwa kuendana na harmony wanayotuhamasia ili hali wao wana kasi ya kupata vya dunia, sisi tubaki kujipatia tumaini la kuvumilia.

Are we just stupid kwa kudhania sisi ni wadhambi na tunastahili mateso haya, badala ya kutumia strategy wanazotumia hadi kujikuta kuwapa kilichobakia, ila tunabaki kulialia na kuumia.
 
Manipulate mfumo. Work off the books ukatae mfumo ulio asisiwa kuwanufaisha wachache ili na wewe uwe mnufaikaji. Unajua wanao tunga sheria na kukukataza wewe usizivunje ndio hao hao wanaozipindisha ili kunyoosha mambo yao?

Umesha wahi kujiuliza kwamba ukitaka kujenga hotel huko serengeti utakumbana na vikwazo kiasi gani? Ila je ni kweli hotel kule hazipo?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Hakika mkuu, hakika haaswa
 
GwajiBoy kajiongeza yupo zake bungeni anakula mema ya nchi muda huu. Na wengine ushawataja hapa ni mifano tosha.

Tumtafute Yesu lakini pia maisha yanatakiwa yaendelee vizuri kabisa. Tafuta hela ndugu
 
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"

Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale?

Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi masikini ndio zingejenga shule bure za masikini wa kutupwa, hospitali katika kaya masikini, maana huo ndio upendo wa Kikristu.

Je sisi ni wavivu, wa kuzidi kudidimia kwa kuendana na protocols wanazo tuhubiria, kwa kuendana na harmony wanayotuhamasia ili hali wao wana kasi ya kupata vya dunia, sisi tubaki kujipatia tumaini la kuvumilia.

Are we just stupid kwa kudhania sisi ni wadhambi na tunastahili mateso haya, badala ya kutumia strategy wanazotumia hadi kujikuta kuwapa kilichobakia, ila tunabaki kulialia na kuumia.
I swear nikiwa Raisi nahc ntawindwa zaid ya Marehemu Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwa ntakachokifanya kwa wote ....Ntapendwa na wapenda haki I usawa na kuchukiwa na Wabinafsi 😎
 
Back
Top Bottom