Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"
Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale?
Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi masikini ndio zingejenga shule bure za masikini wa kutupwa, hospitali katika kaya masikini, maana huo ndio upendo wa Kikristu.
Je sisi ni wavivu, wa kuzidi kudidimia kwa kuendana na protocols wanazo tuhubiria, kwa kuendana na harmony wanayotuhamasia ili hali wao wana kasi ya kupata vya dunia, sisi tubaki kujipatia tumaini la kuvumilia.
Are we just stupid kwa kudhania sisi ni wadhambi na tunastahili mateso haya, badala ya kutumia strategy wanazotumia hadi kujikuta kuwapa kilichobakia, ila tunabaki kulialia na kuumia.