Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

Pole mkuu japo naona kuna mahali umeteleza
 
Dah! Iyo sms Ni balaa[emoji848]
 
Kwa muda ulioutaja mh sijui ila yote kwa yote pole tuko pamoja , mimi nimepitia iko kipindi mpaka sasa wao huamini nilishakwisha sababu mama angu aliupata akafa, akafuata mzee na mwisho akafuata mdogo angu sasa jamii yote inajua mimi tayari but sio, hivyo usijal tuko wengi ishi maisha yako ndugu, hayo ni mambo ya kawaida sana. R.I.P my family.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kubaguliwa sio kwenye Ukimwi tu hata TB naona watu wengi hawana uelewa,kuna jamaa alikua anabaguliwa na ndugu zake kisa tu anaTB inasikitisha sana,jamaa alitengwa huyo chumba chake walikua hawaingii msosi anapewa kama mfungwa vyombo vyake vilitenganishwa tena vinaoshwa kwa gloves eti vitawaambukiza Noma sana,jamaa alipona ikabid ahame akatafute maisha sehemu nyingine!Chakushangaza baada miaka 3kupita kwenye ile familia watu wawili wakapata TB malipo hapa hapa!
 
Ndugu yetu mmoja aliukwaa... Tukawa tunamuuguza nyumbani. Aisee!! Jamii mbona ilitutenga na wakati huo sisi Watoto tukienda kucheza wenzetu wameshalishwa sumu wanatukimbia. Nikikumbuka naumia sana!
Ndiyo maana wenye nao huusambaza ili wawe wengi,Kuna sehemu nilikua,kila Dem nayemtomba utasikia ana ukimwi,mi nikawa natomba tu...nikiacha na wao wanatomba
 
Siyo kwamba walipata mwingine,aliwaambukiza,tb inakuwaga kinyemela muda mrefu
 

Hivi miaka 20 iliyopita kulikuwa na vipimo vya HIV kuleta gheto?
Akili ndogo hata hili nalo hadi kulipeleka Jamii inteligence ndi waelewe? Miaka 20 iliyopita ndio story ilipoanzia, mpenzi wangu alikufa miaka 6 baadae. mwaka 2005 na kabla ya hapo nakumbuka kabisa vipimo vya HIV vilikuwepo japokuwa havikuruhusiwa kutoka kiholela lakini kama ulikuwa na connection ilikuwa rahisi sana kuvipata.

Sikulaumu inawezekana miaka hiyo ulikuwa mtoto sana au haukuwa na uelewa na lolote kuhusu elimu ya UKIMWI lakini kama ni mtu mzima utakumbuka kabisa miaka hiyo AMREF imefanya sana shughuli hizi na pia kulikuwa na program maarufu sana iliitwa Ishi Campaign hii ilikuwa maeneo ya mijini sana kila mkoa. Wakati wewe ulikuwa Sigimbi mwenzako nilikuwa mjini na connection na vijana wa Ishi campaign 😛
 
Baba mkwe chenga
 
Yaan haya mauwongo sijui mpaka lini[emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Wakuu tumepigwa na kitu kizito!yaani enzi hakuna vocha za buku na za jero vipimo vya HIV vilikuwa vikiuzwa madukani kweli?au Mimi mgeni?
Kwani nyie mna umri gani hadi mshangae hili?!
Mwaka 2001 rafiki yangu wa karibu sana kwa mara ya kwanza anakatiwa ticket ya ndege kwenda Dar kuhudhuria semina ya Ishi campaign. Aliporudi miaka michache baadae walianza event mbalimbali mitaani, vyuoni na mashuleni walikuwa wakifanya seminars, voluntary counseling and testing mitaani sio hospitalini.

Kuhusu simu..... hadi naona aibu kuongea hili labda niwaulize mmeanza kutumia simu lini? Mwenzenu simu ya kwanza ilikuwa Philips savvy, baadae nikanunua kwa pesa yangu Simens tuliita dole gumba na simu ya maana kwa wakati huo nilianza na Nokia 3310 simu zote hizi zilikuwa na meseji na tulikuwa tukitumiana sana tu lakini hatukuwa tukiita chat (sidhani kama hili ni muhimu maana story nimeiandika sasa) . Mwaka 2002 nilipoishi mtandao wa Mobitel ulikuwa umeanza huduma vocha zilizokuwepo ni za 5,000 na 10,000 tu baadae voda walipokuja wakaja na vocha za Alphatel za buku mbili tulikuwa tunachana karatasi mbili zilizoungana ndani unakutana na namba za vocha.

Kwani nyie mmeanza kutumia simu lini? Nsijekuwa napoteza muda wangu kuelimisha vijana wa Kikwete habari za Mwinyi!!

Alafu kuna kitu mnashindwa kuelewa hapa, nimeandika kisa kilianza miaka 20 iliyopita na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mingi na baadae alifariki na baada ya hapo ndio kisa cha huyu binti wa pili kilitokea. Kwa kumbukumbu zangu ilikuwa mwaka 2007 wakati huo mwenzenu sio mtoto na simu nimeshatumia miaka kadhaa nyuma.

Lakini mwisho hii tabia ya kupingapinga kila kitu ni hulka ya mtu hata ningekupa vigezo vipi bado kama una roho ya kupinga utatafuta swali na hoja ili uendelee kupinga tu, lengo langu ni kufikisha ujumbe kama kuna wachache wameelewa inatosha ujumbe umefika wala sina lengo la kupata huruma au mchango wa mtu maana hayo yalishapita sasaivi nakula raha na familia yangu mke tayari ninae watoto ninao sijui nataka nini tena kwenu mnaonibeza.
 
😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hii chenga aliyopigwa nadhani hata yeye alicheka,kisha akaanza kusikitika tena baadae[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivyo vipimo hata mwaka 2005 vilikuwa havijagunduliwa..😂😂
Marekani kwenyewe hivyo vipimo vimeanza kutumika 2010

Halafu umesema kipindi hicho kulikuwa hakuna vocha za buku bali zinaanzia 5000 tu, 2005 kulikuwa hakuna vocha za buku?😂😂
 
1. Namba ya simu ya matron kutumika (kwa calls & SMS) kuwasiliana kimapenzi na Spicy.

2. Miaka 20 iliyopita... kupata kipimo cha HIV cha kupeleka geto.
_____________________

Hii chai inyweke kwa pipi, maana sukari bei juu.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…