Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

Sema wewe Kaka!Tanzania 2019
Hivyo vipimo hata mwaka 2005 vilikuwa havijagunduliwa..😂😂
Marekani kwenyewe hivyo vipimo vimeanza kutumika 2010

Halafu umesema kipindi hicho kulikuwa hakuna vocha za buku bali zinaanzia 5000 tu, 2005 kulikuwa hakuna vocha za buku?😂😂
 
Akili ndogo hata hili nalo hadi kulipeleka Jamii inteligence ndi waelewe? Miaka 20 iliyopita ndio story ilipoanzia, mpenzi wangu alikufa miaka 6 baadae. mwaka 2005 na kabla ya hapo nakumbuka kabisa vipimo vya HIV vilikuwepo japokuwa havikuruhusiwa kutoka kiholela lakini kama ulikuwa na connection ilikuwa rahisi sana kuvipata.

Sikulaumu inawezekana miaka hiyo ulikuwa mtoto sana au haukuwa na uelewa na lolote kuhusu elimu ya UKIMWI lakini kama ni mtu mzima utakumbuka kabisa miaka hiyo AMREF imefanya sana shughuli hizi na pia kulikuwa na program maarufu sana iliitwa Ishi Campaign hii ilikuwa maeneo ya mijini sana kila mkoa. Wakati wewe ulikuwa Sigimbi mwenzako nilikuwa mjini na connection na vijana wa Ishi campaign 😛

NNaweza kuwa Baba yako, hata kama zilikuwepo haikuwa circulated kununuliwa kama condom
 
Hivyo vipimo hata mwaka 2005 vilikuwa havijagunduliwa..😂😂
Marekani kwenyewe hivyo vipimo vimeanza kutumika 2010

Halafu umesema kipindi hicho kulikuwa hakuna vocha za buku bali zinaanzia 5000 tu, 2005 kulikuwa hakuna vocha za buku?😂😂
Kama nilivyosema mtu akiamua kupinga atatafuta kila sababu ilimradi apinge tu. Inawezekana nabishana na mtu ambae hajui kabisa kuhusu UKIMWI na hajui hata ku google.
On November 7, 2002, the Food and Drug Administration announced approval of the OraQuick Rapid HIV-1 Antibody Test huko Marekani lakini miaka hiyo niliyokutajia hapa bongo ilikuwa tayari vimeingia. Elewa sikuwa mtoto ndugu yangu.

 
Nakumbuka niliwahi shiriki tamasha la kuchana ishi kampeni shy town broo Ali Mainofu Kupuya akiitumbuiza akitoka school tukutu ya Blb aka Buluba, na imagine nikiwa std yeye akiwa cha nne na tukaja ajiriwa mwaka mmoja .
Sasa ninaobishana nao hata Ishi campaign hawaijui si nnapoteza muda tu 😀
 
Doa la ukimwi likishakuangukia uwa HALITAKATI kamwe.

Bro wangu(sina udugu nae). Hadi leo kakubali yaishe na kapata single mama mmoja alieziba maskio na leo wanaishi.

Back then akapata kadada chap akakaslimisha mipango ya mahari ikafanyika chap. Siku 3 nyuma ya kupeleka mahari baba mkwe akamuita akamwambia:, mkwe 1/2/3.

Nasikia unatumia Dozi. jamaa akakanusha,akasema story isiwe ndefu twenden hospital kupima.
Baba bint akakubali, jamaa akarudi nyumbani kesho yake arudi kwa ajili ya vipimo.

Jion yake akapokea ujumbe, baba bint anasema vipimo vifanyikie mbali na mji(wilaya) waliyopo. Madaktar wengi waliopo ndani ya huo mji wanafahamiana na jamaa so uenda wakatoa majibu ya uongo ili kumlinda.

Jamaaa akasema si shida ni jambo dogo tu ilo,twenden wilayani. Asubuhi ilipofika akawapigia simu hawapokei. Makubaliano ilikuwa ni kukutana saa 3 asubuhi kwa ajili ya kwenda hospital lakin sasa simu hawapokei.

Wakati akiwa anatafakari ujumbe ukaingia unasema:, WATU WAMETUAMBIA MTU MWENYE VIRUSI VYA UKIMWI AKINYWA COKE VIRUSI UPOTEA KWA MUDA.

MKWE TUNAOMBA SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIOUPATA SISI TUMEGHAILI.
Jamani...daah...
 
Sema wewe Kaka!Tanzania 2019
2019!! 😀😀😀 Nimeshajua nabishana na watu wa aina gani. Mimi nimepima sana hivyo vipimo miaka hiyo kati ya 2004 au 2005 na kuendelea,tena hiyo 2007 huyo jamaa yangu alikuwa amevijaza kwake kama pipi yani kila alipotoka kwenye event alikuwa anachukua. Natamani nipate mdau hapa aliyewahi kuwa volunteer Ishi, Amref au mradi wowote wa UKIMWI miaka hiyo
 
NNaweza kuwa Baba yako, hata kama zilikuwepo haikuwa circulated kununuliwa kama condom
Unaweza kuwa baba yangu ndio lakini inawezekana ulipokuwa hakukuwa na miradi ya UKIMWI na hukuwa na taarifa za UKIMWI kama ilivyokuwa kwangu. Ni kweli kabisa vipimo havikuuzwa madukani lakini vilikuwepo mahospitalini na kwenye mashirika yaliyopewa idhini na TACAIDS
 
Naamini hii no stori tu isipokuwa ina mafunzo ndani yake
 
2019!! 😀😀😀 Nimeshajua nabishana na watu wa aina gani. Mimi nimepima sana hivyo vipimo miaka hiyo kati ya 2004 au 2005 na kuendelea,tena hiyo 2007 huyo jamaa yangu alikuwa amevijaza kwake kama pipi yani kila alipotoka kwenye event alikuwa anachukua. Natamani nipate mdau hapa aliyewahi kuwa volunteer Ishi, Amref au mradi wowote wa UKIMWI miaka hiyo
Ok,kwa vile mwenzetu ulikuwa karibu na mdau wa campaign.
 
huyu mwanasheria naye sijui katokea wapi. sasa mambo ya conviction yanaingilia wapi kwenye mada hii.
Watu wanapohisi jambo na kulitolea hitimisho maana yake wamehukumu tayari.Hapo ndio tukaibuka na hiyo Kitu kubatilisha Mitazamo yao.Easy
 
Ni kweli hatuijui ishi campaign,Ila tunaijua ISHI campaign..usione Soo SEMA nae au sio?
Ndio theme yao ya kwanza ilikuwa ni "Usione soo sema nae" ambayo mzee Mkapa aliipiga chini kwasababu ilitafsiriwa kama inachochea watu kuendeleza ngono. Lakini sio ISHI maana haina kirefu ni Ishi kwa maana ya kuishi baas... Nnayo hadi picha nikiwa nimevaa tshirt za Ishi mdau alikuwa ananiletea mazaga hayo sana

ishi.jpg
 
Back
Top Bottom