Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mshana bhana... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umejimegea minyama yako hapa umetulia.Kila mwenye macho kaona mawe ya Katompa , hakuna cha Kidunda wala nini , ngumi ni Mazoezi na mbinu za kisasa , huwezi kuwa na nyumba ndogo 10 ukategemea ushindi , miguu itakosa nguvu na utapigwa mapema tu
Huyo kiduku wenu atakuja kupigwa vbaya sana nyie jidanganyeni tuKiduku anapitia file la huyu mcongo, n swala la muda tu
Kwenye u captain wake ameleta medali ngapi?Kidunda alikua captain wa Tanzania katika ngumi za ridhaa kwenye mashindano ya kimataifa, Amesha cheza Commonwealth games, Olimpic games sio bondia wa kubabaisha alikua mmoja wa mabondia tegeneo wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya ridhaa.
Mimi naona amechelewa kuingia ngumi za kulipwa. Ukiacha faulo ya kupiga kichwa aliyocheza katompa bado Kidunda alikua akiongoza kwa point.
Msimchukulie poa Kidunda.
Katika medali Sina hakika ni ngapi Ila ndiye bondia aliye wahi kuleta medali zaidi ya mara moja Ila sio dhahabu na ndiye bondia ambaye Kama taifa katika ngumi za ridhaa tulikua tukijvunia. Kidunda ameanza kucheza professional boxing juzi tu kwaiyo uwezi kukumkuta katika rank za juu Ila muda si mrefu atasogea.Kwenye u captain wake ameleta medali ngapi ?
angalia nafasi ya Kidunda kwenye viwango vya dunia , halafu muangalie Katompa , namba hazidanganyi
Hivi kwenye boxing wanaangalia uzito wa ngumi au kuguswa kwa mtu usoni?Lakini mbona kama ikionyeshwa vionjo vya kila raundi inaonyesha Kidunda alikua na point zaidi ya mcongo?....huyu mcongo aliguswa mara nyingi zaidi uso wake kabla ya ajali ya kugongana vichwa..nilivyoona mimi
Nakuhakikishia kama game ingeendelea kidunda asingefika round ya 6Lakini mbona kama ikionyeshwa vionjo vya kila raundi inaonyesha Kidunda alikua na point zaidi ya mcongo?....huyu mcongo aliguswa mara nyingi zaidi uso wake kabla ya ajali ya kugongana vichwa..nilivyoona mimi
Mbona hajaangushwa sasa!!!..Katompa ni bondia mzuri tunajua hilo na yupo rank za juu (ingawa ranks sio uthibitisho sahihi wa ubora wa bondia maana kuna sababu nying sana za bondia kuwa juu katika ranks) lakini kwa kiasi chake kidunda jana alionekana kutawala mchezo jaribu kucheki hata highlights utaelewa namaanisha niniAngeangushwa wakati wowote
Kaokolewa baada ya kuanza kumwagika damuNini Kimetokea huko jamani..........Kidunda Kadundwa ..?
Nashauri abadilishe jina.
...Duh!..ngumi ni Mazoezi na mbinu za kisasa, huwezi kuwa na nyumba ndogo 10 ukategemea ushindi , miguu itakosa nguvu na utapigwa mapema tu
Sielewi wenzangu mlikuwa mnaangalia game ipi, mbona Kidunda alikuwa anaongoza kwa point kabla ya kuahirishwa pambano?[emoji44][emoji3061]