Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #201
Sijawahi kula jicho mkuu na ndio kwanza mara ya kwanza mimi kuugua gonjwa la zinaaMkuu kuna uzi niliwahi kuona huku kama sio huku basi ni x (twitter). Huo ugonjwa ni noma sana kama unakulaga majicho hio issue itakutoka hela mpaka ukome
Inapatikana kwenye maduka yote ya asili? Kwa hilo jina?Nenda duka la dawa za asili
Tafuta dawa inaitwa Amazon
Ni chungu sana
Kikombe kimoja cha kahawa asbh na jioni
Urudi kutupa mrejesho
Saiv naviogopa kama ukoma yaniVitoto vya buku bee vina gono na uti sugu kama lote,hatari sana kutembelea rim navyo ,ni mwendo wa KANYE WEST ukikutana nao ,MPOTO utaumia.
Wacha tutembee nayo kaka tuone mwisho wakeNaona thread ya gono sijui ndio gonorrhea... Inachana mawimbi
Nenda Hosii Jomba,Watakata mboo hiyo ohooo.Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Sasa hizo dawa ulidhani nilikuwa naandikiwa kwenye vilabuni vya pombeNenda Hosii Jomba,Watakata mboo hiyo ohooo.
πππ Aisee Pole Power safe unatakiwa uchome 5 bro.Sindano tano.Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Rudi tena hospital uchome power safe 5 ,kila siku moja mzee,Kisha upewe na Azuma.Sasa hizo dawa ulidhani nilikuwa naandikiwa kwenye vilabuni vya pombe
Na iwe hivi mkuu haki nashukuru sana kwa kuniombea mema ππ»Kwa sasa usitumie dawa na usifanye ngono, jitahidi uwe unakunywa maji mengi ili njia ya mkojo ijisafishe, baada ya muda tatizo litaisha.
Natafuta mabingwa wa 2D animation, ndio nipo 'online' kuwatafutaEquation x lala sasa umetosha mkuu
Aaah ongea na kina African GeekNatafuta mabingwa wa 2D animation, ndio nipo 'online' kuwatafuta
Na mshamba_hachekwiNatafuta mabingwa wa 2D animation, ndio nipo 'online' kuwatafuta
Piga maji mengi, huo ukungu utaondoka, nasi yalishatukuta hayo na maisha yakasogea.Na iwe hivi mkuu haki nashukuru sana kwa kuniombea mema ππ»
Kumbe inatakiwa upigwe powersafe taniπππ Aisee Pole Power safe unatakiwa uchome 5 bro.Sindano tano.
Duuh mkuu mbona kazi sanRudi tena hospital uchome power safe 5 ,kila siku moja mzee,Kisha upewe na Azuma.
Ahsante sana mkuu nitafanya kama ulivyonielekezaPiga maji mengi, huo ukungu utaondoka, nasi yalishatukuta hayo na maisha yakasogea.
Ana abc tu, inawezekana hilo sio eneo lake la 'field'
Aaah fine... Unatafuta wa humu humu tu auAna abc tu, inawezekana hilo sio eneo lake la 'field'
Lazima ulipe garama za kutembea peku, pole mkuu, ela si muhimu sana jali afya kwanza, ila next time tumia kingaMkuu hapo nikibadilisha hospitali itakuwa ya tatu na kila sehem imenitoka pesa c chini ya 50k