Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Oya hiyo powersef haichomwi Moja inakuga dozi ya sindano 5 kila siku sindano moja , na Vidonge vya Antibiotics. Baada ya Sindano ya pili ndio utaona tofauti .... Pole Sana
 
Tumia dawa ya Kienyeji siijui inaitwaje ila ukitumia ndani ya 24hrs inapona. Kuna mwamba ilimtokea kama wewe hivyo hivyo akaitumia siku moja tu akapona na ilikuwa ipo kwenye stage mbaya sana.

Kama upo maeneo ya Mbezi Malamba awili ulizia kwa DR Mila
Sawa mkuu shukrani sana nitaenda kumtafuta huyo daktari
 
Afu maduka ya dawa na pharmacy nyingi siku hizi wanajali kuuza dawa tu na sio kutibu... Me nakushauri ongea na wazee wakuelekeze dawa za asili... Sio uende kwa waganga aaah... Yaan ujaribu kuangalia wazee ambao umri umeenda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…