Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Pole sana kiongozi.
Zingatia sana mazoezi ya mwili, pia kunywa maji safi na salama(mara kwa mara).
Wacha kutumia kila dawa, utaleta shida mingine kwenye mfumo wako wa mwili.
Hakikisha huyo aliyekuambukiza hilo dubwana unamchana na kama ni kisasi utajua cha kufanya(ateseke na yeye).
Sali sana kwa imani yako(Mungu atakuponya).

Hallelujah!!!
 
Shukrani sana mkuu ubarikiwe pia
 
MTUME wa mwenyezi mungu محمد صل الله عليه و آله وسلم asema hakuna maradhi yasiyo na dawa ispokuw kifo. Kuwa na subra ndgu kw uwezo wake muumba utapona nami nina dawa aliyonifahamisha ningependa nijue upo mkoa upi ili tuende sawa
 
Ulipima au umetumia tuu dawa bila vipimo?
 
DR Mambo Jambo
Carlos The Jackal
 
Kwan powercef si ndo cefriaxone hiyo hiyo? Sema ipi cefriaxone na cefriaxone + sulbactam ambayo ni ajili ya wadudu sugu
Kama imeshindkana nenda hospital kubwa wafanye culture waone ni dawa nyingine inayoweza kutibu tatizo
 
Kuwa makini makeup zisikuchanganye , wala demu alieweka avatar nzuri jf asikupagawishe kuwa makini usije ukaukwaa arrif.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…