Nilipata mshtuko jana nilipokuwa naangalia habari TBC1 na kuona Makamu wa Rais anaongea jambo kana kwamba hakijui cheo chake

Mama kaiuza gesi Kwa mwekezaji mzawa ambaye ni mwanae Abdul na yeye kuiuzia serikali bei kubwa mara tisa ya bei inayotakiwa kulipwa ndiyo maana bei ipo juu.Nchi hii imeoza kabisa.
 
Mama kaiuza gesi Kwa mwekezaji mzawa ambaye ni mwanae Abdul na yeye kuiuzia serikali bei kubwa mara tisa ya bei inayotakiwa kulipwa ndiyo maana bei ipo juu.Nchi hii imeoza kabisa.
Duh,
Ya kweli haya?
Halafu huyo mwekezaji siyo mzawa maana wanasema Znz ni nchi nyingine.

Shida ni kuwa Tanganyika inanyonywa sana na hao wageni (foreigners)
 
Daah hii ndio tz ukiwa mpole mwenye busara shida na ukiwa mbabe mwenye maamuzi magumu kama magu dikteta sijui tunataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…