Nilipata Tsh 2.5m kwenye Betting, mpaka sasa nimebakiwa na Tsh 1.4m

Nilipata Tsh 2.5m kwenye Betting, mpaka sasa nimebakiwa na Tsh 1.4m

Mwez ulioisha nikiwa nabet na kampuni la 1xbet, nilifanikiwa kukusanya pesa mpaka ikafika 2.5 million. Baada ya mwez kuisha upepo ukakata mpaka sasa nimeliwa na imebaki 1.4million. Najuta sana maana mwanzo kabisa niliwaza nikafungue playstation ila nikawa najivuta kutokana na kuwa busy na kikazi changu cha 200k kwa mwezi.

💣USHAURI KWA VIJANA WENZANGU

👉Pesa ya kamari ukiipata ingiza kwenye vitu vinavyoeleweka haraka iwezekanavyo na kamari acha kabisa narudia kwa herufi kubwa ACHA KABISA.
🤎Kubet sio njia sahihi ya kupata maisha ukipata pesa ya kamari kimbia Usigeuke nyuma.
kweli bro.
 
Mwezi ulioisha nikiwa nabet na kampuni la 1xbet, nilifanikiwa kukusanya pesa mpaka ikafika 2.5 million. Baada ya mwezi kuisha upepo ukakata mpaka sasa nimeliwa na imebaki 1.4million.

Najuta sana maana mwanzo kabisa niliwaza nikafungue playstation ila nikawa najivuta kutokana na kuwa busy na kikazi changu cha 200k kwa mwezi.

[emoji378]USHAURI KWA VIJANA WENZANGU

[emoji117]Pesa ya kamari ukiipata ingiza kwenye vitu vinavyoeleweka haraka iwezekanavyo na kamari acha kabisa narudia kwa herufi kubwa ACHA KABISA.
🤎Kubet sio njia sahihi ya kupata maisha ukipata pesa ya kamari kimbia Usigeuke nyuma.
Kamari ni uraibu. Si rahisi kuachana na uraibu.
 
Betting is an addiction of false expectations, you hit Tshs 1,000,000/=. You get fvckd 2,000,000/= in a month😂😂.
Njia sahihi hivi vitu ni kutojifunza kabisa.
Na kama umeshacheza basi jutahidi sana usijerudi huku.

Pesa ya kamari hatu upate vipi huriziki.
 
Hapa kwetu familia nzima tunafanya betting. Tukiamka asubuhi baba a nachukua elfu kumi kisha .anatugawia buku jero kila mtu. Halafu tunatengeneza mikeka. Jioni tunaangalia nani kamtaffuna mhindi

Kila siku tunateketeza elfu kumi kwenye betting. Lkn inatulipa, kwa wiki tunaingiza 1M mambo yakiwa mabaya sana, lknyakienda vizuri mpk 10M
Hongereni mkuu
 
Back
Top Bottom