Nilipigiwa simu na namba ngeni akachelewa kuongea, nikamshambulia kwa matusi sikujua kama ni mzazi wangu

Japo mzee wako nae chenga ila mi mtu anaepiga halafu haongei hua naiacha simu hewani.
 
Mtumie laki chap, pia ounguza stress
 
Ila mzee wako nae ana stress,,sikubaliana na ujinga wako,,,lkn kama hiyo ni namba ngeni inamaana hukujua kama ni baba yako,ningemuelewa baba yako kama ungetukana kupitia namba yake
Kuna uhalali wa kutukana mtu kisa tu humfahamu na hajaongea chochote?

Mivijana tumekuwa wa hovyo sana.
 
Mimi kuna ndugu yangu tena wa kike ,aliniandikia ile hela tuma kwenye hii namba.Mi nikajua matapeli nikamjibu nikufire kwanza kumbe ni ndugu yangu.Nilikuwa mdogo.
 
inaumae?hivyo ndivyo angejisikia mtukanwaji mambo yangekuwa vile udhaniavyo, angekuwa siyo baba yako sasa hivi ungejiona jasiri sana.
 
Kuna uhalali wa kutukana mtu kisa tu humfahamu na hajaongea chochote?

Mivijana tumekuwa wa hovyo sana.
Kama wewe ni wa hovyo sio mimi,,nimesema sikubaliani na ujinga wake,,,sasa baba kutopokea simu ndio dawa?

Mzazi mwelewa angemkanya mwanae na sio kususa period
 
Huyo mzee anaenda kuomba boom lisitishwe aone jeuri ya mtoto mporomosha matusi ataishije huko chuoni asipofundishwa adabu🫠
Huyu kavurugwa unatukana mtu kisa hajaongea kwenye simu?

Kama sio chai basi atafute mtu wa counseling hapo chuoni kwake
 
Hata mimi bwana nilitukana kwenye namba ngeni kumbe ilikua wananiita kwenye nafasi za uteuzi ndio ile nafasi yangu kwa hasira wakampa yule jamaa aliyefariki.
 
Mfanyie muamala, mwambie adake hapo li konyagi kubwa na kilo ya mdudu.bila shaka atakusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…