Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
# ROCA FELLAhakika mrembo mbususu
UBONGO WAKO UNACHELEWA KUPOKEA TAARIFA NA KUTAFSIRI IPASAVYO.
MIMI NI JINSIA YA KIUME, NIMEWEKA I.D YA PICHA YA KIKE HILO LISIKUCHANGANYE MKUU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
# ROCA FELLAhakika mrembo mbususu
Japo mzee wako nae chenga ila mi mtu anaepiga halafu haongei hua naiacha simu hewani.Inakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.
Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa nashangaa hii namba ni kasajili laini ya tatu au kaazima.
Napiga Namba zake zote hapokei ushauri.🇹🇿
Hili nalo ni tatizo# ROCA FELLA
UBONGO WAKO UNACHELEWA KUPOKEA TAARIFA NA KUTAFSIRI IPASAVYO.
MIMI NI JINSIA YA KIUME, NIMEWEKA I.D YA PICHA YA KIKE HILO LISIKUCHANGANYE MKUU.
hionipicha yamwanao au mkeo mkuu?# ROCA FELLA
UBONGO WAKO UNACHELEWA KUPOKEA TAARIFA NA KUTAFSIRI IPASAVYO.
MIMI NI JINSIA YA KIUME, NIMEWEKA I.D YA PICHA YA KIKE HILO LISIKUCHANGANYE MKUU.
# ROCA FELLAHili nalo ni tatizo
# ROCA FELLAhionipicha yamwanao au mkeo mkuu?
Kuna uhalali wa kutukana mtu kisa tu humfahamu na hajaongea chochote?Ila mzee wako nae ana stress,,sikubaliana na ujinga wako,,,lkn kama hiyo ni namba ngeni inamaana hukujua kama ni baba yako,ningemuelewa baba yako kama ungetukana kupitia namba yake
Huyo mzee anaenda kuomba boom lisitishwe aone jeuri ya mtoto mporomosha matusi ataishije huko chuoni asipofundishwa adabu🫠Tafuta banana nne unywe ukiamka utakuwa vizuri
Kama wewe ni wa hovyo sio mimi,,nimesema sikubaliani na ujinga wake,,,sasa baba kutopokea simu ndio dawa?Kuna uhalali wa kutukana mtu kisa tu humfahamu na hajaongea chochote?
Mivijana tumekuwa wa hovyo sana.
Huyu kavurugwa unatukana mtu kisa hajaongea kwenye simu?Huyo mzee anaenda kuomba boom lisitishwe aone jeuri ya mtoto mporomosha matusi ataishije huko chuoni asipofundishwa adabu🫠