Nilipigiwa simu na namba ngeni akachelewa kuongea, nikamshambulia kwa matusi sikujua kama ni mzazi wangu


kwa hii hadithi yako, bado sana
Kwa mfano: Kwa nini ushambulie mtu ambaye hajakuambia chochote kibaya?
Sana sana ungesema ukamkatia simu, hadithi yako ingevutia kidogo
 
Aisee
 
🤔🤔🤔
 
👏👏👏
 
🤝👌
 
Nakushauri uache matusi.
Na tafuta mtaalam wa anger management.
 
Jinga wewe huna ustaarabu kilichokufanya utukane ni nini sasa unenikera sana Kana kwamba uliyemtukana ni mzazi wangu
 
Siku zote katika maisha yako JIFUNZE kuzuia mdomo kutoa MATUSI jisifie kukataa kutukana katika maisha yako.
 
hiyo ID yako mh mh mh @p
dronedrake Poor Brain Hope urassa
 
Magonjwa ya akili tuliyokuwa tunayasikia kwa wazungu, yameingia kwa kasi barani Africa. Tunakoelekea ndio hatari zaidi.. Mungu atunusuru.
Magonjwa ya akili yalikuwepo kila sehemu tangu binadamu ameanza kujitambua. Tofauti ni hakukuwa na experts, international media wala JF kukwambia.
 
Ne
Sasa kama ni mzee wewe achana naye.
Mimi nilidhani baba yako kumbe ni mzee!
Wewe endelea kupiga kitabu.
 
Hiyo mara nyingi hutokea kama huna pesa na unadaiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…