Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo na mwanamke


 
Haya maisha hayapo hivyo,utajiua kwa mambo ambayo hayapo😝
 
Mtoto wa kiume una bwana!!!??? Tatizo la afya ya akili ni kubwa.
 


Mwanaume wako umemnunua? Mwanaume ni wako akiwa ndani ya nyumba yenu, akitoka ni wa wote, fahamu yeye ndio wa kutoa mahari, sio wewe
 
Hahahahaha na magoshi wanavoongezeka kwa kasii
ongeza konyagi kubwa moja
 
Hatakuelewa maana mwanamke aliyeumizwa na aliyelelewa utotoni vibaya hawapendagi wanaume wa Mungu, hawana vibe, ila wakihit 30 , ndo wanaanza kuwatafuta.

Siwaoneagi huruma watu wasiotaka kukubali kuwa hawapendwi.
 
Yy Ndio kasababisha haya yote mpaka tametokea na mm siwezi ku calm down mpaka leo usiku aje
 
Matatizo ya afya ya akili ni tatizo kubwa nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…