Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo na mwanamke

Wachaga mapenzi hamjui huo mwandiko tu unaonekana unamaneno mengi na matusi

USSR
 


Kwa tabia hii ndo maana ana mwanamke mwingine
 
Una kichaa
 
Afya ya akili inazidi kuondoka . Ngoja nitulie na my queen👯‍♀️
 
Unajifanya una hasira halafu unakunywa wine? Wewe unatudanganya hapa. Ulitakiwa unywe K-Vant kubwa yote ili utuonyeshe kweli kwamba umempania huyo mumeo
 
kuna watu kiama kitawakuta vifuani mwa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…