Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi


Wakati mwingine ukiwa unaagiza angalia shipping method. Nzuri ni ile Aliexpress standard shipping, ambayo mizigo wanasafirisha kwa Speedaf, haipiti posta.
Utaona tracking namba inaanzia na TZR……
Mizigo inafika haraka sana, na wala hawakucharge kodi.

Last week nmetoka kupokea simu 3, na sijawa charged hata one cent!
 
Sawa mkuu nipe location ya ofisi ya speedaf ikiwezekana hata mawasiliano yao niwacheki wanipe mwongozo
 
Shukran sana mkuu, nafikiri bora tukacheki kibongo bongo itakua fresh zaidi.
 
Sawa mkuu nipe location ya ofisi ya speedaf ikiwezekana hata mawasiliano yao niwacheki wanipe mwongozo

Ofisi zao ziko smwhr mikocheni, address sikumbuki vizuri. But mzigo ukifika wai ndo wanakupigia simu na kukufanyia delivery bure
 
Nikusahihishe kidogo.
Standard shipping haikupi uhalali wa kutumiwa Moja kwa Moja Speedaf maana AliExpress ndio wanaamua wakutumie posta au speedaf so kama unataka utumiwe kwa Speedaf omba AliExpress wakutumie kwa njia hiyo sababu ukiwaomba seller Huwa wanajibu kwamba hawatumi nje ya system.
Cha muhimu hilo zoezi fanya kabla ya malipo kwa kufuata hatua hizi:-

1.Bofya hapo kwenye mshale itatokea sehemu ambayo utaweza kuwapa maagizo AE wakutumie kwa Speedaf.

2.Ukishamaliza kuwapa ujumbe ndio ubonyeze confirm kuplace order.
NB:
1. Cainiao super economy Global (hizi ni Speedaf ila vizuri kuweka msisitizo)
2.cainiao super economy for special goods (posta)
 
Mkuu china website gani ambazo ni maarufu hapa bongo halafu nyingi naona ni kichina tu na vipi nikinunua vitu vya electronic kama simu au smartwatch je zinakua na lugha ya kiingereza au ndo kichina tu?
 
Mkuu china website gani ambazo ni maarufu hapa bongo halafu nyingi naona ni kichina tu na vipi nikinunua vitu vya electronic kama simu au smartwatch je zinakua na lugha ya kiingereza au ndo kichina tu?
Website za kichina zinazoship china rahisi kutumia ni hio Alibaba.

Nyengine kuna hao kina Taobao, Tmall etc sema hizi ni za kichina na zinataka uzoefu.

Kuhusu bidhaa inategemea na brand, Brand za kimataifa zitakua na kingereza ila local brands ipo possibility ukanunua kitu kikawa kichina tupu.
 
kama unataka kununua bidhaa alibaba kwa jumla huna agent nitafute inbox nikupe agent wanaosafirisha mizgo ofisi zao zote zipo hapo k/koo

Na ukitaka ushauri zaidi karibu inbox
 
Unahitaji case ngapi mkuu? Mimi niko SA tufanye biashara +26772982286
 
Mkuu nataka niagize kuanzia PC 20 za saa na airpod je naweza kuagiza wapi penye unafuu maana alibaba sijawahi kuagiza, sijui masuala ya CBM na wala sijawahi kumtumia ajent msaada tafadhali
Karibu nikupe elimu kidogo
 
Hivi upangaji wa kodi na usafirishaji kuna chart imewekwa kuonyesha au watu wanalopoka tu na kama kuna utaratibu unaweza kunionyesha napataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…