Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

Silent ocean wanale mzigo now toka US... Embu nipe ABC hapa, maana niko na experience nao kwa masoko ya china
Niliwahi wasiliana nao mda kidogo wana charge $11 kwa kilo ambayo sio mbaya bei maana ni around 30K sawa na China tu kwa ndege, issue ni kwamba hawataki kilo kidogo, at that time ilikua minimum kilo 40 sijui sasa hivi.

Aramex $27 kuna wadau wadau wengine $25, $22 etc
 
Hii ni kwameli au ndege hizi ada..
 
Wale wafanyakazi wa silent ocean pale godown kwao sokota wahuni sana wanatabia ya kutoboa box la mzigo wanaingiza mkono na kuiba baazi ya vitu mimi imenikuta wameniibia vichwa vya saa, earpods na mikanda ya saa baazi ya mabox
 
IMG_20240322_133524~2.jpg
 
Duh
Wale wafanyakazi wa silent ocean pale godown kwao sokota wahuni sana wanatabia ya kutoboa box la mzigo wanaingiza mkono na kuiba baazi ya vitu mimi imenikuta wameniibia vichwa vya saa, earpods na mikanda ya saa baazi ya mabox
 
Silent kumbe ndio zao, niliwahi agiza box langu wakati jmaa anaenda kufuatilia mzigo wanguu kanipigia picha nikaona kama boksi limefunguliwa nikamuuliza kulikoni akanijubi ndio kama picha inavyojieleza
 
mamlaka ziliangalie hili, mteja alindwe
 
Kuna machine nataka ninunue ebay sema seller wengi hawatumia bongo, na mimi natafuta agent wakutuma bongo ambayo bei yake ni affordable kwa upande wa Sea freight maana siko na haraka ya huo mzigo..

Uko na experience kwenye hili
Nitafute Kwa namba hii nikupe maelekexo Mimi ni wakala wa TULIP IMPORT AND EXPORT CHINA TO TANZANIA +25567229
4359
 
Nitafute Kwa namba hii nikupe maelekexo Mimi ni wakala wa TULIP IMPORT AND EXPORT CHINA TO TANZANIA +25567229
4359
Bidhaa nayotaka kununua iko katika masoko ya marekani na uingereza sana sana, swali ni je mko na warehouse kule, maana seller wengi wa marekani au uingereza hawatumia bidhaa zao china. Na china niko na agent tayari kuniletea mzigo wangu saa yeyote
 
Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara niliagiza saa pieces kama 20 pamoja na airpod

Mzigo wangu ulichukua takribani siku 12 tu toka china hadi TZ ulipofika nikatumiwa sms na posta inayoanza na RDP baada ya kwenda posta nikaambiwa nilipe 5900 kisha nikapelekwa kwa maafisa wa TRA aisee jamaa wakaufungua mzigo na kuanza kuukagua wakafanya mahesabu yao kisha nikaambiwa nilipekodi nusu ya gharama niliyonunulia bidhaa

Hiki kitu kwangu kilikua kigeni ndo mara ya kwanza kukutana nacho.

SWALI, je kipi ni nafuu kati ya kuagiza mzigo pc 50 za airphone aliexpress na sehemu nyingine kama alibaba maana sijawahi agiza sehemu nyingine tofauti na aliexpress
Kiufupi Bongo ni Waizi kishenzi. Hasa Mzigo Ukifika Posta Unaweza Nunua Kitu Buku Huko china Tena Kwa free shipping Unaambiwa Ulipe 3000-5[emoji23][emoji23] Sema Siku Hizi Inategemea na msafirishaji Kuna Baadhi Huwa haipitiii Posta Ina Pitia Kwa Jaamaa wa Speedaf Sema unapochagua Pale Shipping Kuna Zingine lazima wapeleke Posta Ukiona Tracking No Imeanza na TZ Mara nyingi haziendi pista Ukiona inaanzia na Hiyo RDP Jua Hiyo ni Posta ila ikiishia RPD haipitiii Japo Sikuhizi hawaeleweki.Kikubwa Heri Alibaba wasafirishaji Garama za Usafiri utakazopewa ndio na Kodi Humo humu[emoji124]
 
Chief naomba

msaada nataka niagize ssd nvm 620 alliexpress 1Tb au 512 ssd je ushaur wako hpo mkuu na je hakuna fek kule?
Fake zipo za kutosha tu mkuu, ni risk sana. Unless unapata store inayojielewa. Pia ssd nzuri ni zile zenye dram, kwa hizi nvme.
 
Back
Top Bottom