Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Chart ipo kwa Bandari na waagiza mizigo mikubwa, ila kina sie wa Airport na Posta ni kuropoka tu pale pale, na wakikuona mzembe mzembe wanakupiga bei kubwa ili mkutane katikati ama watengeneze mazingira ya Rushwa.Hivi upangaji wa kodi na usafirishaji kuna chart imewekwa kuonyesha au watu wanalopoka tu na kama kuna utaratibu unaweza kunionyesha napataje
Cha muhimu hakikisha una invoice ya Aliexpress ama amazon ama uliponunulia mzigo inaepusha usumbufu.
Chart ya Kodi sina labda mwenye nayo anaweza kuiweka hapa