Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

Ouky kwa experience yako kampuni ganii nzuri ya kuagiza bidhaa rejareja (mfano naitaka S 21 ultra tu)
Vyema ununue kitu mahala kinapotokea

Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.

Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.

Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri
 
Vyema ununue kitu mahala kinapotokea

Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.

Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.

Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Mkuu habari,Mimi nahitaji kununua Jezi kutoka kwenye maduka ya team husika mfano Chelsea,sasa nisichoelewa no namna nitavyoweza ipata jezi hiyo,

Naomba maelezo kidogo mkuu tafadhali
 
Kwanza jezi bei ndefu around laki na nusu hadi laki 2 ama zaidi.

Unaweza ukatumia forwarder mfano uingereza wapo wa kutosha wana charge kama 30,000-40,000 kwa kilo.
 
Vyema ununue kitu mahala kinapotokea

Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.

Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.

Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Naomba link ya soko LA malyasia
 
Mkuu habari,Mimi nahitaji kununua Jezi kutoka kwenye maduka ya team husika mfano Chelsea,sasa nisichoelewa no namna nitavyoweza ipata jezi hiyo,

Naomba maelezo kidogo mkuu tafadhali
Jenzi OG tafuta pinduoduo kule ila hakikisha ni 100% aunthetic supplier.
Bei zap zimechangamka si kitoto
 
Shopee.com.my ndio kubwa pia Kuna Lazada sema hawaleti Huku moja kwa moja utahitaji parcel forwarder.
Daah Agent gani analeta maana naona wengi wamejazana china kuanzia Silent Ocean hadi kina unique Cargo na wengine wadogo wadogo
 
Aramex Shop and ship,

Ama kuna watu Discord wanakuletea sio kampuni ni watu binafsi na ni risk.
Habari yako mkuu,
Samahani nami naomba kuuliza,vipi kwa mimi nayetaka kununua bidhaa (amazon) marekani? Swala la courier ni yupi yuko vizuri? Au hata wao wanafikisha kwa ile shipping yao?
Asante
 
Amazon wenyewe wanaleta ila ni gharama, hasa kama unanunua mzigo mdogo, Silent ocean wanaleta pia toka USA ila uwe mzigo mkubwa kilo kadhaa, Kuna parcel forwarder wengine pia kwa mizigo midogo
 
Ok,mzigo wenyewe ni kinanda uzito wa kilo 3.5
 
Ni Act au Regulation gani ya kodi inasema hivo.

Kama hutojali naomba u-cite hicho kifungu hata kama ni Income Tax Act (ITA-2004)au Revision zingine
Kagoogle customs regulation act 2010
 
Mkuu nataka niagize kuanzia PC 20 za saa na airpod je naweza kuagiza wapi penye unafuu maana alibaba sijawahi kuagiza, sijui masuala ya CBM na wala sijawahi kumtumia ajent msaada tafadhali
Niko na experience ya alibaba ni simple wala haina complications nyingi, wewe tafuta supplier wako chat nae akupe maelezo ya bidhaa, kwaundani alafu akuambie mzigo ukifungwa wote total cmb ni ngapi? Agent naotumiaga nao ni silent ocean.

Rudi kwa agent wako mwambie uko na mzigo china nataka uje bongo na cmb zangu ni hizi, atakupa bei. Bei atakayokupa ni pamoja na kodi ni wewe tu kuchua mzigo wako hapo warehouse yao.

Baada ya hapo ndio waenda fanya payment sasa, sema kama ni mzigo wa biashara hakikish hata sample unaomba wakupe ukipata sample ndio utajua uchukue mzigo kwako au laaa???

Kila la kheri
 
Vyema ununue kitu mahala kinapotokea

Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.

Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.

Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Kuna machine nataka ninunue ebay sema seller wengi hawatumia bongo, na mimi natafuta agent wakutuma bongo ambayo bei yake ni affordable kwa upande wa Sea freight maana siko na haraka ya huo mzigo..

Uko na experience kwenye hili
 
Amazon wenyewe wanaleta ila ni gharama, hasa kama unanunua mzigo mdogo, Silent ocean wanaleta pia toka USA ila uwe mzigo mkubwa kilo kadhaa, Kuna parcel forwarder wengine pia kwa mizigo midogo
Silent ocean wanale mzigo now toka US... Embu nipe ABC hapa, maana niko na experience nao kwa masoko ya china
 
Back
Top Bottom