Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Vyema ununue kitu mahala kinapotokeaOuky kwa experience yako kampuni ganii nzuri ya kuagiza bidhaa rejareja (mfano naitaka S 21 ultra tu)
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuriVyema ununue kitu mahala kinapotokea
Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.
Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.
Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Mkuu habari,Mimi nahitaji kununua Jezi kutoka kwenye maduka ya team husika mfano Chelsea,sasa nisichoelewa no namna nitavyoweza ipata jezi hiyo,Vyema ununue kitu mahala kinapotokea

Kwanza jezi bei ndefu around laki na nusu hadi laki 2 ama zaidi.Mkuu habari,Mimi nahitaji kununua Jezi kutoka kwenye maduka ya team husika mfano Chelsea,sasa nisichoelewa no namna nitavyoweza ipata jezi hiyo,
Naomba maelezo kidogo mkuu tafadhali
Naomba link ya soko LA malyasiaVyema ununue kitu mahala kinapotokea
Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.
Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.
Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Jenzi OG tafuta pinduoduo kule ila hakikisha ni 100% aunthetic supplier.Mkuu habari,Mimi nahitaji kununua Jezi kutoka kwenye maduka ya team husika mfano Chelsea,sasa nisichoelewa no namna nitavyoweza ipata jezi hiyo,
Naomba maelezo kidogo mkuu tafadhali
Shopee.com.my ndio kubwa pia Kuna Lazada sema hawaleti Huku moja kwa moja utahitaji parcel forwarder.Naomba link ya soko LA malyasia
Daah Agent gani analeta maana naona wengi wamejazana china kuanzia Silent Ocean hadi kina unique Cargo na wengine wadogo wadogoShopee.com.my ndio kubwa pia Kuna Lazada sema hawaleti Huku moja kwa moja utahitaji parcel forwarder.
Aramex Shop and ship,Daah Agent gani analeta maana naona wengi wamejazana china kuanzia Silent Ocean hadi kina unique Cargo na wengine wadogo wadogo
Habari yako mkuu,Aramex Shop and ship,
Ama kuna watu Discord wanakuletea sio kampuni ni watu binafsi na ni risk.
Amazon wenyewe wanaleta ila ni gharama, hasa kama unanunua mzigo mdogo, Silent ocean wanaleta pia toka USA ila uwe mzigo mkubwa kilo kadhaa, Kuna parcel forwarder wengine pia kwa mizigo midogoHabari yako mkuu,
Samahani nami naomba kuuliza,vipi kwa mimi nayetaka kununua bidhaa (amazon) marekani? Swala la courier ni yupi yuko vizuri? Au hata wao wanafikisha kwa ile shipping yao?
Asante
Ok,mzigo wenyewe ni kinanda uzito wa kilo 3.5Amazon wenyewe wanaleta ila ni gharama, hasa kama unanunua mzigo mdogo, Silent ocean wanaleta pia toka USA ila uwe mzigo mkubwa kilo kadhaa, Kuna parcel forwarder wengine pia kwa mizigo midogo
Around dola 100 kama unatumia ndege (parcel forwarders)Ok,mzigo wenyewe ni kinanda uzito wa kilo 3.5
Kagoogle customs regulation act 2010Ni Act au Regulation gani ya kodi inasema hivo.
Kama hutojali naomba u-cite hicho kifungu hata kama ni Income Tax Act (ITA-2004)au Revision zingine
Niko na experience ya alibaba ni simple wala haina complications nyingi, wewe tafuta supplier wako chat nae akupe maelezo ya bidhaa, kwaundani alafu akuambie mzigo ukifungwa wote total cmb ni ngapi? Agent naotumiaga nao ni silent ocean.Mkuu nataka niagize kuanzia PC 20 za saa na airpod je naweza kuagiza wapi penye unafuu maana alibaba sijawahi kuagiza, sijui masuala ya CBM na wala sijawahi kumtumia ajent msaada tafadhali
Kuna machine nataka ninunue ebay sema seller wengi hawatumia bongo, na mimi natafuta agent wakutuma bongo ambayo bei yake ni affordable kwa upande wa Sea freight maana siko na haraka ya huo mzigo..Vyema ununue kitu mahala kinapotokea
Kwa Samsung Masoko ya Usa ni mazuri sana kununua kama Amazon, Ebay etc.
Kwa Simu za Kichina kama Xiaomi, Huawei, Oppo etc aliexpress.
Simu za Kijapan unapata Malyasia etc.
Silent ocean wanale mzigo now toka US... Embu nipe ABC hapa, maana niko na experience nao kwa masoko ya chinaAmazon wenyewe wanaleta ila ni gharama, hasa kama unanunua mzigo mdogo, Silent ocean wanaleta pia toka USA ila uwe mzigo mkubwa kilo kadhaa, Kuna parcel forwarder wengine pia kwa mizigo midogo