Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi?
Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya serikali na hali hii inafanya ACT-WAZALENDO washindwe kuaminiwa na wananchi na itachukua muda mrefu sana, kuaminiwa na watanzania kama hawatobadili mfumo wa siasa ambazo wanafanya.
Kuna maswali ya kujiuriza je ILANI hiyo nani ataitangaza?
Je ILANI hiyo mgombea gani ataitangaza ?
ACT-WAZALENDO fanyeni siasa kama chama cha upinzani.
Jifunzeni ZANZIBAR wanavyofanya japo wapo ndani ya serikali ya umoja wa kitaifa lakini bado wanaonesha kama ni wapinzani.