Nilipofika Wilaya za Kishapu, Maswa, Meatu, Magu, Busega, Bunda, Tarime na Butiama nilishukuru sana kuishi Dar

Hata Dar maeneo ambako hakuna fiber internet...hakufai kuishi
 
Nenda Kalambo Rukwa, Tanganyika katavi mlele katavi ukajionee hali halisi ya wananchi
 
Unaishi sehem ovyo au una lala kwenye ngoz na nyumba ya nyasi halafu una milion mia nane kwenye akaunt na ng'ombe elfu moja
Hayo sio maisha unasindikiza wenzako kuishi kwa kutumia hela zako
Acha upumbavu ndiyo maana mnaambiwa mfuge kisasa
 
H
Acha chuki kwa wenzio
Maendeleo yapo na yanaonekana.
Ukizidiwa kubali na ujifunze
hebu yataje hayo maendeleo...maaa unaongea chuki chuki...yaani mimi niwe na chuku na kabila fulani...so what...
 
Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.
Ikiwa nyote mnakimbilia mjini safari ni ngumu sana, nani apeleke maendeleo kijijini kwenu wakati wewe mwenyeji umeloweya kwenye miji ya watu, rudi kijijini kwenu ukashiriki shughuli za maendeleo.
 
Hiyo dar ya mbuyuni? Mbona tunaona mnakanyaga tope la kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…