Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Kalambo Rukwa, Tanganyika katavi mlele katavi ukajionee hali halisi ya wananchiHayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo.
Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji.
Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.
Unaishi sehem ovyo au una lala kwenye ngoz na nyumba ya nyasi halafu una milion mia nane kwenye akaunt na ng'ombe elfu mojaKuishi kwako Dar una Salio shilingi ngapi kwenye Akaunti yako ya Bank au ndio walewale walamba lips kusindikiza wengine?
Huko unakokukandia ndiko kuna watu darasa la Saba tu au Form Four lakini akikuonyesha balance yake Bank unaweza ukajikojolea,acha ushamba wa kudhani Dar ndio kila kitu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
PhD holderUnaishi Dar ukitaka kwenda kunya ni kwa foleni nyumba za kupanga uswazi huko,halafu unajimwambafai nipo Dar[emoji1745]ni unasindikiza wenzako
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
hebu yataje hayo maendeleo...maaa unaongea chuki chuki...yaani mimi niwe na chuku na kabila fulani...so what...Acha chuki kwa wenzio
Maendeleo yapo na yanaonekana.
Ukizidiwa kubali na ujifunze
Ushukru pia kwa mafuriko mnayoendelea kupambana nayo huko jiji chafu.
Ikiwa nyote mnakimbilia mjini safari ni ngumu sana, nani apeleke maendeleo kijijini kwenu wakati wewe mwenyeji umeloweya kwenye miji ya watu, rudi kijijini kwenu ukashiriki shughuli za maendeleo.Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.
Hayo maeneo ni vijiji vya ajabu kabisa. Ni aibu kuiita miji. Yaani maisha ni duni na ya kale sana.
Sikuwahi kujua kwamba Tanzania ina maeneo yapo nyuma kiasi hiki katika maendeleo.
Baadhi ya sehemu unapita vumbi na unakuja kukutana na lami uchwara pale wanapoita katikati ya mji.
Safari ya maendeleo bado ni ndefu sana nchi hii.