Nilipokutana na Diamond Platnumz ana kwa ana tukaongea

Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.

Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.

Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.

Nimejifunza mengi.
Wanaume wa dar kazi mnayo,
Nadhani panapaswa kuwa na jinsia ya kati yaani pawe mwanaume,halafu hiyo jinsia ya kati,kisha mwanamke,na wanaume wa dar wawe hyo ya kati,
 
Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.

Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.

Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.

Nimejifunza mengi.
Mwenzako lema.alipelekwa gerezani sababu ya ndoto
 
Acha kumlinganisha fally ipupa na vitu vya kipuuzi. Nimesikitika sana kumlinganisha Mkali Wa kibao cha "ècole" ambacho kiliachiwa hewani mwezi July 2018 na mpaka Leo kina zaidi ya watazamaji 5,000,000 kule you tube.
Ndo nini sasa? kwani Diamond hana wimbo wenye zaid ya Views 5? tafuta wimbo wowote aloutoa mwez july uone ana ngapi?
 
Ndio nyie badae msanii anapata brand kubwa ya lebo kwenye uwekezaji kama Cristiano ronaldi mnasingizia aliwafira!!!!
 
Mimi namkubali kwa kuimba nyimbo za kulalamika .
Yeye na fally ipupa nawakubali mno.hawa ndio wasanii pekee hapa duniani kama nikipata bahati ya kuwaona nitawaongelesha ila wengine No
Nitampata wapi.... Hiyo nyimbo sichoki kuisikiliza
 
Ndo nini sasa? kwani Diamond hana wimbo wenye zaid ya Views 5? tafuta wimbo wowote aloutoa mwez july uone ana ngapi?
Acha kumlinganisha fally ipupa, lofa wewe na vitu vya hovyo.

You're comparing true African musician with crook "artist"
 
hapo lazima ulimpiga mzinga akakupa huo msimbazi mmoja!... siku nyingine utaliwa kizibo hicho...
 
Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.

Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.

Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.

Nimejifunza mengi.

Sasa ulitaka aroge hadharani ili umjuwe kuwa mchawi?
 
Back
Top Bottom