Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Na kwa sababu hiyo Mondi sio mchawi.Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Hahaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa sababu hiyo Mondi sio mchawi.Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Wanaume wa dar kazi mnayo,Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.
Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
Nimejifunza mengi.
Mwenzako lema.alipelekwa gerezani sababu ya ndotoNi shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.
Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
Nimejifunza mengi.
[emoji23]Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Ndo nini sasa? kwani Diamond hana wimbo wenye zaid ya Views 5? tafuta wimbo wowote aloutoa mwez july uone ana ngapi?Acha kumlinganisha fally ipupa na vitu vya kipuuzi. Nimesikitika sana kumlinganisha Mkali Wa kibao cha "ècole" ambacho kiliachiwa hewani mwezi July 2018 na mpaka Leo kina zaidi ya watazamaji 5,000,000 kule you tube.
Nitampata wapi.... Hiyo nyimbo sichoki kuisikilizaMimi namkubali kwa kuimba nyimbo za kulalamika .
Yeye na fally ipupa nawakubali mno.hawa ndio wasanii pekee hapa duniani kama nikipata bahati ya kuwaona nitawaongelesha ila wengine No
😀😀😀😀Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Nilikua nakuwangia we nyauSa kumi usku upo macho.
Bibi kigagula kichawi
Acha kumlinganisha fally ipupa, lofa wewe na vitu vya hovyo.Ndo nini sasa? kwani Diamond hana wimbo wenye zaid ya Views 5? tafuta wimbo wowote aloutoa mwez july uone ana ngapi?
Sio masikioni kwako tuligegedanaNilikua nakuwangia we nyau
.maana unalia lia sana dirishan kwangu
hata sura yako nauona unyenyekevuUchawi ni unyenyekevu tu
Umeona eehatavsura yako nauona unyenyekevu
Akakaa kwenye bao gumuNitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
[emoji3][emoji126][emoji126][emoji126]njoo nikuteke haha
Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.