Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Leo hujapinga?🙆♀️🙆♀️Ndio unampenda mtu kwa traits zake ama nafsi yake tu. If you fall inlove with someones heart and soul yeye kuwa bonge au mwembamba havihusiani!
Kabisa kesho akiwa kilema atamuacha pia somethings are stupidity kwa kweli 🤔You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Hii njia utakuja kupigwa, mfano mie mama angu kazeeka ila ukimuangalia yuko vizuri guu guu, mwili mzuri...mimi sasa nimefanana na baba sina mbele wala nyuma...the same kwa binti angu ni mcute hatari wala hafanani na mimi.Muangalie mama yake, angalia familia yake.
Hapo ndio utaujua mwili wa asili wa binti, kwamba akishakongoroka atakuwaje.
Hizi comments zenu kwenye huu uzi zinatupa moyo Sana Basi tu hamjui,You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Tuvumilianeni tu, mi mwenyewe huyu husband nimekutana nae ana six packs.. Sasa hivi ana kitambi hikoo....ila kosa ni langu nampikiaga wali nusu kwa nazi tano.Enzi za boyfriend na girlfriend wife nilikuwa naweza nikambeba toka posta hadi buguruni, lkn sasa nikitaka kufungwa POP basi nijaribu tu kumnyanyua kidogo.
Kuna ka formula ila kagumu kidogo.Hii njia utakuja kupigwa, mfano mie mama angu kazeeka ila ukimuangalia yuko vizuri guu guu, mwili mzuri...mimi sasa nimefanana na baba sina mbele wala nyuma...the same kwa binti angu ni mcute hatari wala hafanani na mimi.
What's love? Please don't hurt me, baby don't hurt me no moreAiseee.... What's love?
Jifikirie upya..!!Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Na kikubwa ni upendo kati yenuJamaa yangu mmoja ananiambia ukikaa na mwanamke atakupikia vizuri unenepe na yeye ananenepe mpoteze mvuto mbaki kupendana wenyewe watu wa nje wanakuwa hawawapendi mnadumu daima