Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Kwani traits hazibadiliki?

Me naona tupende tu bila conditions.

Japo hata mi mwanaume mnene na mwembamba sana huwa siwapendi kabisa.....yaani mwanaume akinitokea akiwa mnene hata aongee lugha gani, afanye nini? simwelewi kabisa.
Nipende kwakuwa unanipenda na sio unipende kwakuwa mimi nakupenda au nina materials fulani Either personality traits, Behavioral model au Tangible material kama pesa, gari, nyumba nk
Upendo ni free electron
 
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Are you for real brotha?

Kwa hiyo ukiambiwa uchague kati ya khadija kopa na nandy, assuming wote wana umri sawa na hizo other traits wapo sawa, utamchagua Khadija kopa?

Unajua sisi wanaume ni visual creatures, ili umfuate mwanamke lazima uvutiwe kwanza na muonekano(looks) wake.

Looks is the bare minimum, kabla hatujaanza kuulizana majina na kuchunguza hizo other traits, you should have that covered.
 
Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri, miaka nenda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana

Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile. Nafanya kupitia tv Dstv 198 Jumamosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.

Huu ndio mlo wangu nibadilishe wapi?
1. Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: Asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: Saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana (siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: J2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga mboga.

Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
 
Are you for real brotha?

Kwa iyo ukiambiwa uchague kati ya khadija kopa na nandy, assuming wote wana umri sawa na izo other traits wapo sawa, utamchagua khadija kopa?

Unajua sisi wanaume ni visual creatures, ili umfuate mwanamke lazima uvutiwe kwanza na muonekano(looks) wake.

Looks is the bare minimum, kabla hatujaanza kuulizana majina na kuchunguza hizo other traits, you should have that covered.
Maaane, you’re right “mi chizziiii!???”~in manaras voice!!!
Well..,i love me some fine ass Nandy hommie😅 that gurl secsy no disrespect!
 
Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana

Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.

Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.

Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
😝😏😝 Daaah uzungu huu mama, others will eat eat
 
Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Umewahi kujiuliza yeye anakuona wewe the perfect man kwake kwamba kila alichokitaka kwa mwanaume unacho au bado unacho? Ukijibu hili swali utapata pia jibu la swali lako.
 
Dah sisi tunaopenda slim tunapata shida kweli sikuhizi.

Kila mwanamke anataka kuwa bonge[emoji846][emoji846][emoji846]

Viportable vya shida
 
Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana

Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.

Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.

Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Iko vizuri hata ukinenepa hautakua na kitambi maana jioni unakula vyepesi. Na huo mchana control kiasi cha wanga huo ubwabwa usiwe sahani rundo. Kiasi tu
 
Kwa mbaaali ka kitambi nakaona eti niache maziwa mmh siwezi acha
 
Miili hii inayobadilika kila siku?

Utaacha wangapi?

Wewe hubadiliki?
 
Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana

Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.

Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.

Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Umesema haunywi pombe, that's good achana na fizzy drinks pia.

Pili achana na hizi white processed stuff zote zinazotokana na ngano kama chapati, mikate, maandazi, tambi etc

Ukiweza piga starch au carbs ambazo ni natural kama mihogo, magimbi, viazi vitamu na upunguze mastarch ya mawali na maugali.

Mboga za majani na matunda kwa wingi, protein kishkaji coz we ni mwanamke na hauhitaji kujenga muscles.

Ukishindwa mazoezi kabisa jitahidi kuruka kamba au evening walk kwa ajili ya kukaza mwili.
 
Kwa mbaaali ka kitambi nakaona eti niache maziwa mmh siwezi acha
Maziwa hayana shida kabisa maziwa sababu ni protein. Kinachofanya uongezeke ni vyakula unavyokula pamoja na maziwa..haswa hio wanga ,mafuta kwenye chips na sukari vipunguze hivyo.
 
Back
Top Bottom