Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Niliyenae nampenda bila sababu...hakuna mtu aliyenidanganya
Sio hakuna mtu aliyekudanganya!!!, Nilikuwa namaanisha hivi kuna kitu kimekufanya umpende huyo uliyenaye.Inawezakana ni kimo chake,rangi yake,mwanya,kazi yake, sauti yake,n.k.Hakuna binadamu anayeweza kukwepa hapo.Anayeweza kumpenda mwanadamu bila Sababu ni MUNGU tu.
 
Hiyo sasa ni wewe unasema

Mie nilichoandika ndio kipo hivyo
 
Mapenz ni mahangaiko,ukianza kutaka hiki na hutaki kile ndo ivoivo utakuwa mpaka siku yako ya kuzikwa
 
Hiyo sasa ni wewe unasema

Mie nilichoandika ndio kipo hivyo
Sio kweli, Naona umeamua kutudanganya na kuidanganya nafsi yako.Hebu fikiri juu ya tabia fulani usizozipenda,hivi mumeo akibadilika na kuanza kuzifanya,je utandelea kumpenda km Mwanzo?. Nadhani baadaye utakuja kunielewa ninamaanisha nini?.Ninaposema mwenye upendo usio na Sababu kwa binadamu ni MUNGU tu, maana yake ni kwamba MUNGU anatupenda tu jinsi tulivyo bila kujadli mapungufu yetu,wewe ukisema unampenda mumeo bila Sababu ni UWONGO wa mchana kweupe pee.
 
Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana

Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.

Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.

Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Hiyo mi boflo ndio inayokuongezea kg
 
Unataka nikuoe???
Women can get away with being fat.

Vipi sasa kuhusu wewe mwanaume being obese and broke? That must truly hurt.

Wanawake mabonge ni wa wanaume kama wewe, ambao hamna options.I forgot kumbe mademu wanene hata wanaume wanene hawawataki.
 
Punguza mkate. Kula mara moja. Hata maziwa kunywa basi lita 1.

Wakati mwingine nafikiri mtu ananenepa akiwa na furaha tu ya moyo.
Ati eeh au kwa sasa nina ka furaha? 😂😂😂Ila maziwa napiga mfano leo tangu asubuhi sijala, napiga maziwa tu ntakula jion mayai mawili tu.
 
Napenda sana slim girls (English figure), nilipokutana nae alikuwa mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, I like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Hatuna muda wa ku discuss ujinga.
 
Napenda sana slim girls (English figure), nilipokutana nae alikuwa mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, I like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Labda anatumia vidonge vya uzazi wa mpango.
 
Back
Top Bottom