Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Pole yako mzebaba, kama ni hivo ungekua muwazi kwake ajue unachokipenda na yeye akithamini. Kwa mimi nikimpenda mtu hatanitaenda nae sambamba tu, maumivu ya kuachwa kwa sababu ya maumbile yako kubadilika ni hatari mkuu.

Si ajabu kunenepa kwake kunachangiwa na wewe pia kwa namna moja ama nyingine.
 
Muangalie mama yake, angalia familia yake.

Hapo ndio utaujua mwili wa asili wa binti, kwamba akishakongoroka atakuwaje.
Hii njia utakuja kupigwa, mfano mie mama angu kazeeka ila ukimuangalia yuko vizuri guu guu, mwili mzuri...mimi sasa nimefanana na baba sina mbele wala nyuma...the same kwa binti angu ni mcute hatari wala hafanani na mimi.
 
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Hizi comments zenu kwenye huu uzi zinatupa moyo Sana Basi tu hamjui,

Miss you kivuruge, niliona wamekuban, pole na karibu tena mfalme wa MMU
 
Enzi za boyfriend na girlfriend wife nilikuwa naweza nikambeba toka posta hadi buguruni, lkn sasa nikitaka kufungwa POP basi nijaribu tu kumnyanyua kidogo.
Tuvumilianeni tu, mi mwenyewe huyu husband nimekutana nae ana six packs.. Sasa hivi ana kitambi hikoo....ila kosa ni langu nampikiaga wali nusu kwa nazi tano.
 
Hii njia utakuja kupigwa, mfano mie mama angu kazeeka ila ukimuangalia yuko vizuri guu guu, mwili mzuri...mimi sasa nimefanana na baba sina mbele wala nyuma...the same kwa binti angu ni mcute hatari wala hafanani na mimi.
Kuna ka formula ila kagumu kidogo.
 
Mvumilie tu, mpaka kanenepa lazima utambue kuwa na wewe kwa namna moja ama nyingine umechangia kutokana na aina ya maisha mnayoishi pamoja
 
Ukipenda mtu bila sababu haya yote hayawezi kuwa shida

Mwambie aanze diet na mazoezi
Love is condition, some criteria must be there, tho this are very subjective, tho my reason is trivial. Ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Jifikirie upya..!!
 
You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Basi bro ngoja nipambane nalo hili ni langu
 
Back
Top Bottom