Sasa mimi ni ile type ya binadamu ambao tuko fixed, hata tule vipi hatunenepiJamaa yangu mmoja ananiambia ukikaa na mwanamke atakupikia vizuri unenepe na yeye ananenepe mpoteze mvuto mbaki kupendana wenyewe watu wa nje wanakuwa hawawapendi mnadumu daima
Ukisoma post zangu za nyuma utagundua nilipitia Rough patch, so when i met her, i did my best easy anything, lakini pia nadhani asili ya mwili anayo, maana mimi hata kama nikila vinono siwezi kunenepa.Pole sana..
Inaonesha sperm zako zinamfanya anawiri...au wamlisha vinono sana π. Pambana...
Kwani traits hazibadiliki?You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Kuachwa aachwi hila atapata mke mdogoKwaiyo utamuacha au?
But in reality, you fall in love with traits, and you're sexually attracted to the look (shape, color n.k). Wanaume tuko hivyo. Muonekano ndio inakuvutia kwanza na hulka/tabia ndio zinakufanya uendelee kudumu naye.You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Sperm zinafanya kazi hapo jiraniPole sana..
Inaonesha sperm zako zinamfanya anawiri...au wamlisha vinono sana [emoji23]. Pambana...
Well but atleast unakuwa tagged with a kind heart! Hayo mengine yanakuwa ziadaBut in reality, you fall in love with traits, and you're sexually attracted to the look (shape, color n.k). Wanaume tuko hivyo. Muonekano ndio inakuvutia kwanza, na hulka/tabia ndio zinakufanya uendelee kudumu naye.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ni swala sahihi kabisa, mtu alieko true habadiliki but the fakerz ndio balaa!Kwani traits hazibadiliki?
Me naona tupende tu bila conditions.
Japo hata mi mwanaume mnene na mwembamba sana huwa siwapendi kabisa.....yaani mwanaume akinitokea akiwa mnene hata aongee lugha gani, afanye nini? simwelewi kabisa.
Sure.Well but atleast unakuwa tagged with a kind heart! Hayo mengine yanakuwa ziada
Uuwiii!! Zisipokutosha ukuje mdogo wangu nikuongezeepo. πππ
Ahsante Mungu wengine tumeshahakikishiwa zinapendwa 'nyama nyama' lasivyo, jizoooozi..!
Tucheke wote basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Love doesn't ask why, Yes!Huwa nawashangaa sana jamaa wa sampuli yako!
Kuna Mmoja hivyo hivyo akaoa kaslim.. kalivyozaa tu akawa Bonge jamaa masononeko mengi..
Love doesn't ask Why!
Nimejiangalia nilivyo basi nikaishia kucheka, hapendi mahips, labda aseme yasiyo na mpangilio vinginevyo naona ni kama ana stress nyingi au hajakua nkTucheke wote basi
Sasa mke ni zaidi ya Sex Mkuu.
Lakini sex ni kiungo kikuu cha mahusiano ya ndoa.Sasa Mke Ni zaidi ya Sex Mkuu.
Hahahah akikua ataacha.Nimejiangalia nilivyo basi nikaishia kucheka, hapendi mahips, labda aseme yasiyo na mpangilio vinginevyo naona Ni Kama ana stress nyingi au hajakua nk