Nipende kwakuwa unanipenda na sio unipende kwakuwa mimi nakupenda au nina materials fulani Either personality traits, Behavioral model au Tangible material kama pesa, gari, nyumba nkKwani traits hazibadiliki?
Me naona tupende tu bila conditions.
Japo hata mi mwanaume mnene na mwembamba sana huwa siwapendi kabisa.....yaani mwanaume akinitokea akiwa mnene hata aongee lugha gani, afanye nini? simwelewi kabisa.
Hahahaaa....Uuwiii!! Zisipokutosha ukuje mdogo wangu nikuongezeepo. π
Are you for real brotha?You must be insane to fall inlove with looks that can change at anytime. Siku zote tunawaambia focus on traits not looks! Sasa ona unavyoenda kumuumiza mtoto wa watu bila aibu.
Maaane, youβre right βmi chizziiii!???β~in manaras voice!!!Are you for real brotha?
Kwa iyo ukiambiwa uchague kati ya khadija kopa na nandy, assuming wote wana umri sawa na izo other traits wapo sawa, utamchagua khadija kopa?
Unajua sisi wanaume ni visual creatures, ili umfuate mwanamke lazima uvutiwe kwanza na muonekano(looks) wake.
Looks is the bare minimum, kabla hatujaanza kuulizana majina na kuchunguza hizo other traits, you should have that covered.
AMINAAchaneni na mwili
Jivikeni roho
Kesheni mkisali
Maana hamjui muda mtakaonyakuliwa
πππ Daaah uzungu huu mama, others will eat eatNimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana
Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.
Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.
Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Umewahi kujiuliza yeye anakuona wewe the perfect man kwake kwamba kila alichokitaka kwa mwanaume unacho au bado unacho? Ukijibu hili swali utapata pia jibu la swali lako.Napenda sana slim girls ( English figure), nilipokutana nae alikua mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahips hips na mwili sana, i like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
Iko vizuri hata ukinenepa hautakua na kitambi maana jioni unakula vyepesi. Na huo mchana control kiasi cha wanga huo ubwabwa usiwe sahani rundo. Kiasi tuNimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana
Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.
Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.
Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Kwa mbaaali ka kitambi nakaona eti niache maziwa mmh siwezi achaIko vizuri hata ukinenepa hautakua na kitambi maana jioni unakula vyepesi. Na huo mchana control kiasi cha wanga huo ubwabwa usiwe sahani rundo. Kiasi tu
Unataka nije kuachika kisa ubonge?πππ Daaah uzungu huu mama, others will eat eat
Umesema haunywi pombe, that's good achana na fizzy drinks pia.Nimeanza kuongezeka nilikuwa na mwili wangu mzuri,miaka enda rudi nina kg zangu 60 ajabu nikaona nguo zinanibana, mmmmh mara nazipeleka kwa fundi kuziongeza mmh juzi napima nina kg 70 hapana
Watu wako busy kunisifia nimenenepa naona kerooo.
Mazoezi nayo nafanya ila sio kiviiiile.nafanya kupitia tv Dstv 198 jmosi asubuhi Big brother naija wanafanya mazoezi sana nafanya nao ila sioni mabadiliko.
Huu ndo mlo wangu nibadilishe wapi?
1.Kila siku nakunywa lita moja na nusu ya maziwa fresh( hii ni lazima) mimi sinywi pombe lazima every day nipate maziwa.
2: asubuhi nakunywa maziwa na mkate
3: saa nne asubuhi sahani ya matunda saa 9 wali au chips mazingira ya kazini hivi ndo vyakula vinavyopatikana ( siku moja moja na mchana sili kabisa)
4. Jion sili chakula, nakula maziwa na mkate au tambi au kabichi.
5: j2 tu ndo nakula ugali samaki na mboga.mboga.
Hii diet imekaaje wajuzi wa kutengeneza mwili?
Maziwa hayana shida kabisa maziwa sababu ni protein. Kinachofanya uongezeke ni vyakula unavyokula pamoja na maziwa..haswa hio wanga ,mafuta kwenye chips na sukari vipunguze hivyo.Kwa mbaaali ka kitambi nakaona eti niache maziwa mmh siwezi acha