Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

Niliyenae nampenda bila sababu...hakuna mtu aliyenidanganya
Sio hakuna mtu aliyekudanganya!!!, Nilikuwa namaanisha hivi kuna kitu kimekufanya umpende huyo uliyenaye.Inawezakana ni kimo chake,rangi yake,mwanya,kazi yake, sauti yake,n.k.Hakuna binadamu anayeweza kukwepa hapo.Anayeweza kumpenda mwanadamu bila Sababu ni MUNGU tu.
 
Hiyo sasa ni wewe unasema

Mie nilichoandika ndio kipo hivyo
 
Mapenz ni mahangaiko,ukianza kutaka hiki na hutaki kile ndo ivoivo utakuwa mpaka siku yako ya kuzikwa
 
Hiyo sasa ni wewe unasema

Mie nilichoandika ndio kipo hivyo
Sio kweli, Naona umeamua kutudanganya na kuidanganya nafsi yako.Hebu fikiri juu ya tabia fulani usizozipenda,hivi mumeo akibadilika na kuanza kuzifanya,je utandelea kumpenda km Mwanzo?. Nadhani baadaye utakuja kunielewa ninamaanisha nini?.Ninaposema mwenye upendo usio na Sababu kwa binadamu ni MUNGU tu, maana yake ni kwamba MUNGU anatupenda tu jinsi tulivyo bila kujadli mapungufu yetu,wewe ukisema unampenda mumeo bila Sababu ni UWONGO wa mchana kweupe pee.
 
Hiyo mi boflo ndio inayokuongezea kg
 
Unataka nikuoe???
Women can get away with being fat.

Vipi sasa kuhusu wewe mwanaume being obese and broke? That must truly hurt.

Wanawake mabonge ni wa wanaume kama wewe, ambao hamna options.I forgot kumbe mademu wanene hata wanaume wanene hawawataki.
 
Kwa mbaaali ka kitambi nakaona eti niache maziwa mmh siwezi acha
Punguza mkate. Kula mara moja. Hata maziwa kunywa basi lita 1.


Wakati mwingine nafikiri mtu ananenepa akiwa na furaha tu ya moyo.
 
Punguza mkate. Kula mara moja. Hata maziwa kunywa basi lita 1.


Wakati mwingine nafikiri mtu ananenepa akiwa na furaha tu ya moyo.
Ati eeh au kwa sasa nina ka furaha? 😂😂😂Ila maziwa napiga mfano leo tangu asubuhi sijala, napiga maziwa tu ntakula jion mayai mawili tu.
 
Hatuna muda wa ku discuss ujinga.
 
Ati eeh au kwa sasa nina ka furaha? [emoji23][emoji23][emoji23]Ila maziwa napiga mfano leo tangu asubuhi sijala, napiga maziwa tu ntakula jion mayai mawili tu.
Huenda you are in love....unatabasamu mufa wote...ha ha ha
 
Labda anatumia vidonge vya uzazi wa mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…