Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

Huko juu wanasema uzinzi ndio unatoa hiyo nguvu shemeji
 
Hizo nguvu zilianza kupotea ukiwa na umri gani au ni kipindi gani ulianza kuona kupotea hizo nguvu?
 
Mimi tangu mdogo nina uwezo wa kujua yajayo
Mpaka leo hii
Najua kabisa kesho itakuaje
Najua vifo vya watu
Mara nyingi kupitia ndoto
Na mara nyingi hisia tu

Moaka leo
Kwenye ajali ya meli ya Titanic kuna watu walighairi kusafiri katika safari ya meli hiyo siku chache au muda mchache kabla ya safari.
Wengi walieleza walifanya hivyo kutokana na ndoto za ajabu, hisia za wasiwasi na hofu zisizoelezeka.

Wapo waliyokuwa wakiota ndoto za ajali ya meli ikawafanya kuingiwa na hofu, wapo waliyoota kabisa meli ya titanic ikipata ajali hali hiyo ikawafanya wabadili meli nyengine, wapo waliyojikuta wamepata tu hisia za kughairisha safari bila hata kuwa na sababu yeyote.
 
Hivi hizo hisia ndo roho mtakatifu
 

Bhangi si kitu cha kuchezea. Kuna wakati nami nlikuwa navuta nikawa naweza kufanya miujiza mikubwa sana.
 
Hundred percent correct, especially hiyo when someone have beef with you yaani unanuia na majanga yanamkuta. Ni vigumu kueleweka mpaka mtu awe amei-experience.
 
Wewe upo kama mimi .Mimi ges ilikuwa ikiisha napiga tu maombi gesi inajaa.Aione kwenye jalada Tony Kapola.
 
Haruuu... hebu jaza akaunti yangu mipesa!
 
Kwa hiyo umeukataa u-clean n pure?
 
Daah! Watu mna nguvu nyingi mme-take for granted ๐Ÿ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ