Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

Umetokea kwenye familia ya kichifu?
 
Hivi hizo hisia ndo roho mtakatifu
Haya mambo kila mmoja anaweza kutafsiri kivyake kutokana na misingi yake ya kiimani au mtazamo wake na experience yake, wapo wenye kuamini kwamba kila binaadamu huwa na spirit guide wake ndio hutupa hizo taarifa kupitia hisia, ndoto na njia zengine.

Muhimu ni kwamba hiyo ni intuition na hivyo kila mtu anakuwa nayo ila hutofautiana uwezo wake na aina zake, ndio maana wenzetu huwa wanafanya mazoezi ya kuimprove intuition.
 
Mazoezi ni yapi
 
Na wewe yako ni ipi,weka hapa maana at least nacheka kuondoa stress
 
Mara nyingi huwa ni husda ndo inaua hiyo nguvu… wachawi wana nguvu ya kuona kitu ndani yako bila wewe mwenyewe kujua, sipingi unayoyasema wala anayoyasema mleta mada. Ni ukweli kabisa! Ndo maana ya ule msemo kwamba kila mtoto huzaliwa na nguvu au karama yake.

Kadri unavyokuwa na unapopitapita watu wenye nguvu za giza huona uwezo wako na kukuibia au kuua nguvu zako… maana hujihami na hukuonea wivu lakini wewe ungekuwa na uwezo ungeweza kuwamaliza haraka!
 
Ni kweli mkuu, nina tatizo kubwa la kiimani na limeanza nikiwa na miaka 13 kwahiyo mimi hizi bado naendelea kuona ni chai-tea.
tatizo la kiimani naweza kukusaidia kama unataka. lakini jua kitu kimoja cha msingi ambacho kinakubalika kiimani na kisayansi kwamba asilimia kubwa ya vitu vilivyopo havionekani kwa macho, havisikiki, havishikiki

pia we live in 3 dimensions and we can't understand 4th dimension and so on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…