Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

Tunapokuwa tunaanza kufikiri kwa kutumia mantiki zaidi na ndivyo jamii inavyotaka ndio maana hata hapa utaona watu jinsi wanavyopokea hayo mnayoeleza humu kwa kuona kama ni kuchanganiyikiwa tu, hivyo unapokuwa unakutana na ukosoaji na unajikuta pia unajenga hali ya kujitilia mashaka mwenyewe.
Kwahiyo mwishoni unajikuta unakandamiza huo uwezo na kuupoteza.
 

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanini mkuu
Sababu ki uhalisia na nature ya dunia yetu hakuna kitu kinatokea kimiujiza
Mfano huwezi sema 'mvua nyesha' msimu was kiangazi
Hii dunia Ina mpangilio wake na upo hivo Sasa yeye anawezaje kuubadili?

Ana shida kichwani!
 
Sijajua kwanini watu kwenye huu uzi wanabisha?kweli watanzania ubishi ni jadi kabisa,watu kana hawa wapo kwenye jamii weng tu na wengi hawajionyeshi..Binafsi ni kama mleta mda tu,nilivyokuwa mdogo niliweza kuviona vifo vya wapendwa na majiran na watu ninaowafahamu kwa kuota ndotoni tu na hili ndugu zangu wote wanalijua..Ilikuwa naota either mtu anazikwa au tupo msibani baada ya siku chache ni kweli yule mtu anafariki, niluvyokuwa nakuwa uwezo huo ukaendelea kupungua.Kwa sasa naota lakini kwa namna ya tofauti either naota mtu nsiyemfahamu amefariki au naota nimeona mnyama amefariki baada ya siku chache naskia msiba ninaoufahamu hii ni tofauti na zamani,zamanj nilikuwa namuona mtu specific akiwemo mama yangu mzazi.
 
Kwa sasa ndoto unaletewa kwa mafumbo ni tofauti na ulivyokuwa mdogo, hapo ukiweza kufuatilia hizo symbols katika ndoto zako na ukazielewa tafsiri zake kwako basi itakuwa rahisi kwako kuweza kufahamu maana ya ujumbe uliyo katika hizo ndoto zako.
 
Kwa sasa ndoto unaletewa kwa mafumbo ni tofauti na ulivyokuwa mdogo, hapo ukiweza kufuatilia hizo symbols katika ndoto zako na ukazielewa tafsiri zake kwako basi itakuwa rahisi kwako kuweza kufahamu maana ya ujumbe uliyo katika hizo ndoto zako.
yeah ndio ilivyo kwa sasa,ni mpk ntulie au jambo mpaka litokee ndio nakumbuka na kuanza kuunganisha matukio ya ile ndoto na kilichotokea tofauti na zamani ilikuwa ni direct naona tukio.Nadhani kuzinizini huku kunafunga vitu vingi sana kwenye nafsi za watu
 
Hapana mkuu wala sio suala la kuzini wala dhambi na kama hiyo ingekuwa ndio sababu basi hata hizo ndoto usingepata kabisa, ndoto kuwa katika mafumbo ni kawaida. Sema changamoto ndio hiyo kwa ndoto zenye kuonyesha matukio yajayo inakuwa ngumu kidogo kuweza kujua maana ya ujumbe wa hiyo ndoto hadi pale tukio linapotokea ndio unaonganisha matukio, ni hali ambayo hata mie ni hivyo hivyo pia.
 
Anhaaa continue with your fuc..king shit and tutaona itakupeleka wapi!!!?Hamjui hata hao watu wamefikaje kwenye hzo hatua,mnakazana kucheki movie and your saying okay this shit is fuc..king super, that shit will never ever help you or your fuc..king country....
Mother...fuc...ker😡😡😡😡
 
In case you don't know kid, I'm of the underworld. I don't have to watch movies to know this shit, I live it.
 
Kuna siku taa ya chumbani ilikuwa imeharibika kabisa, haikuwaka hata kidogo. Watu walijaribu kuigusa mara kadhaa bila mafanikio. Nilishika tu swichi nikasema iwake, na ghafla taa ikawaka kama kawaida.

Mambo ya kupuliza mtungi wa gesi...
 
sidhani kama unachokiongea umekutana nacho au umetunga au umedhani
 
ukiwa na mtoto wako mchunguze alafu ujue namna ya kutunza karma yake
 
Inawezekana kurudia hali hiyo.
Hiyo ni Karama ya Mungu ndani yako kama usemayo ni kweli, unahitaji kulipa gharama ya kunyenyekea kwa Mungu ili uweze kurudishiwa. Sahivi ukute karama yako inatumika na mganga fulani huko, kama upo serious tuwasiliane pm nikupe maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…