Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji mstarini wakiwa wamesimama.
Kama mtoto niliekuwa najifunza tabia njema niliona ni kinyume na mafundisho ya uislamu kwa vile mimi ni muislamu, lakini pia hata kikristo kwa vile ; pale tulikuwa tunasoma bible knowledge. na huwezi amini na ukobazi wangu nilikuwa naongoza kwenye somo la biblia.
Walimu wa kikenya walikuwa wanatufinya na kalamu kwenye mapaja hata kama akiwa ni mtoto wa kike, jamaa linapeleka mkono hadi kunako, aseeee wakenya sio watu wazuri hata kidogo, kifupi ustaarabu ni sifuri huko kenya.
Bado nina wasiwasi na walimu wa Kenya wanaofundisha hapa Tanzania, hebu serikali ifanye meditation iwatupie jicho la tatu.