Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji mstarini wakiwa wamesimama.
Kama mtoto niliekuwa najifunza tabia njema niliona ni kinyume na mafundisho ya uislamu kwa vile mimi ni muislamu, lakini pia hata kikristo kwa vile ; pale tulikuwa tunasoma bible knowledge. na huwezi amini na ukobazi wangu nilikuwa naongoza kwenye somo la biblia. Aseeee wakenya sio watu wazuri hata kidogo, kifupi ustaarabu ni sifuri huko kenya.