Nilipokuwa nasoma walimu wa Kikenya walikuwa wanakunywa uji wakiwa wamesimama

Yusufu R H Sabura

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2020
Posts
796
Reaction score
918
Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji mstarini wakiwa wamesimama.

Kama mtoto niliekuwa najifunza tabia njema niliona ni kinyume na mafundisho ya uislamu kwa vile mimi ni muislamu, lakini pia hata kikristo kwa vile ; pale tulikuwa tunasoma bible knowledge. na huwezi amini na ukobazi wangu nilikuwa naongoza kwenye somo la biblia.


Walimu wa kikenya walikuwa wanatufinya na kalamu kwenye mapaja hata kama akiwa ni mtoto wa kike, jamaa linapeleka mkono hadi kunako, aseeee wakenya sio watu wazuri hata kidogo, kifupi ustaarabu ni sifuri huko kenya.

Bado nina wasiwasi na walimu wa Kenya wanaofundisha hapa Tanzania, hebu serikali ifanye meditation iwatupie jicho la tatu.
 
Bado nina wasiwasi na walimu wa Kenya wanaofundisha hapa Tanzania, hebu serikali ifanye meditation iwatupie jicho la tatu.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Chawa kwenye shuka hovyo Sana.
 
Ifanye meditation? Ujue umesoma EMS wewe!!!

Joannah

Numbisa
 
Sawa ila acha hasira basi.
 
Meditation ni elimu kubwa kuliko huu ujinga mnajadili hapa🤔
Najua, ambacho nimeshangaa ni mtoa mada kusema serikali ifanye meditation. Unless otherwise aseme alimaanisha " Mediation "
 
mods mnapenda kubadili vichwa vyangu vya habari ! mnapewa hela kwa kazi hiyo? wacheni sindano ipenye mimi nafahamu kwanini niandike nini.
 
Haha aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…