kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.