Yaani akili yako inakuambia kuwa yale yalikuwa maandamano ya Chadema? Kweli Ccm ni zaidi ya empty set.Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
Sijui wewe unawashwa na nini, mwisho wa Chadema au huyo wenu anayeenda kutumia Dębe kule Ulaya?Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
wewe hata hilo GOVI lako wamekuachia wazazi wako utawasingizia chademaIli maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
CHADEMA kama chama cha siasa mlichokifungia kufanya shughuli zake za kisiasa! Na pia kukifanyia hila na uonevu wa kila aina, kinahusika vipi na maandamano?Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
Huyu naye eti ni propagandist anayetegemewa na ccm. Kwa akili hizi mtaendelea kuua na kuteka watu maana ndo kazi nyepesi mtu mjinga aliyepewa bunduki anaweza fanya.Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi waliyakimbia kabisa wakaenda vijijini na wengine kusalia majumbani mwao. Sasa unajiuliza chadema inaungwa mkono na nani?
Wananchi wameishitukia chadema ya Lissu na Heche kwakuwa imeuganisha makundi yenye agenda zao tofauti na siasa.
Chadema kushindwa kulaani uharibifu wa miundombinu inayotumiwa na wananchi wa kawaida kabisa imewapotezea uaminifu kwa wananchi.
Chadema kukosa ruzuku ya kuendeshea chama kitaifanya kuwa kundi la watu wachache linalotegemea misaada kutoka kwa wazungu wenye agenda zao.
Mwisho wa chadema umekaribia, na bila shaka msajili wa vyama hatapepesa macho yake.
Tume iliyoteuliwa na Muuwaji mwenyewe?Tume iko kazini
Kwa hiyo Chadema ndiyo ilichoma moto hivyo vituo vya mafuta!kwani nani kachoma moto vituo vya kupigia kura? Kwani reforms zilifanyika?
Hiyo tume imeteuliwa na nani!Tume iko kazini
Kwani Tundu aliposema atakinukisha hukumuelewa? Yale matukio ya kuvamia vituo vya uchaguzi ndiyo kumukisha kwenyeweKwani chadema ndio waliitisha maandamano?