Nilipoona mji mweupe D9 nikasema CHADEMA imekwisha habari yake

Akili zimewaingia ndo maana mlibaki kujikomba kwa jeshi liwalinde. Wananchi wametumia tu akili kidogo kuwaexpose ...mnaweza mkajinasibu lakini ukweli ni kwamba mmewekwa uchi sana.

Tokea Oktoba hadi leo mambo yenu ya sirini yamewekwa wazi sana, in short hamna siri tena ya kufficha
 
Chadema inahusika vipi? Mbona hamuizungumzii act?

Subirini mtarudi humu na kusema ‘sasa tu Naelewa’ yakiendelea haya
Utekaji
Curfew ya kudumu
Kodi zisizo na kikomo
Kukosa huduma hospitali

Kwa ufupi MAISHA YATAKUWA MAGUMU SANA kwa kila mwananchi
Mil30 itakuwa sawa na 3000

Mtarudi muiite Chadema kwa herufi kubwa.
Aliyewaloga WaBara atarudi lini mweh!

Walioko abroad jamaa zao Tz ndio watapata unafuu kidogo..

Endeleeni kukomaza shingo!

Mzee wa machameeeeez umeanza kuuliza kama wameona jina lako kule ICC
Ndio lipo subiri wito
 
Kuingia kwa Lissu CDM ilikua ni kosa la karne kwa kile chama. Muda ni hakimu wa yote.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…