GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ili kutomuonyesha kila Mtu hapa JamiiForums Upumbavu na Uwendawazimu wako jitahidi ujikite katika Mada / Uzi ulioko.Katoka jela, kila kitu mjini JF anakiona kipya.
Simba wakaroge tenaKwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda hiyo Mechi.
Na hata Mechi ya Simba SC ya Jumamosi kuna Uchawi mwingine Ulitumika wakati Timu zikisalimiana na aliyekuwa Kinara katika Kuutekeleza ni Mchezaji Mmoja Muhimu wa Kiungo ambaye Namhifadhi.
Uchawi upo na Unafanyika mno.
Wachawi kuwajua ni rahisi sana. Wao wanaamini sana katika uchawi kuliko juhudiKwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda hiyo Mechi.
Na hata Mechi ya Simba SC ya Jumamosi kuna Uchawi mwingine Ulitumika wakati Timu zikisalimiana na aliyekuwa Kinara katika Kuutekeleza ni Mchezaji Mmoja Muhimu wa Kiungo ambaye Namhifadhi.
Uchawi upo na Unafanyika mno.
Mtani wewe utakuwa mshirikina sio kwa kuabudu ushirikina kiasi hiki.....falla wewe😂😂Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda hiyo Mechi.
Na hata Mechi ya Simba SC ya Jumamosi kuna Uchawi mwingine Ulitumika wakati Timu zikisalimiana na aliyekuwa Kinara katika Kuutekeleza ni Mchezaji Mmoja Muhimu wa Kiungo ambaye Namhifadhi.
Uchawi upo na Unafanyika mno.
TZ tutafika mbinguni tukiwa vibwengo kabisa, mbona Nigeria na Egypt hawafiki popote kwa uchawi?Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda hiyo Mechi.
Na hata Mechi ya Simba SC ya Jumamosi kuna Uchawi mwingine Ulitumika wakati Timu zikisalimiana na aliyekuwa Kinara katika Kuutekeleza ni Mchezaji Mmoja Muhimu wa Kiungo ambaye Namhifadhi.
Uchawi upo na Unafanyika mno.
Natarajia kule ugenini mnyama ataloga tena!!Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee tu ninachokijua katika aina hii ya Uchawi ni kwamba Ukitumika Timu iliyoutumia kwa 100% hushinda hiyo Mechi.
Na hata Mechi ya Simba SC ya Jumamosi kuna Uchawi mwingine Ulitumika wakati Timu zikisalimiana na aliyekuwa Kinara katika Kuutekeleza ni Mchezaji Mmoja Muhimu wa Kiungo ambaye Namhifadhi.
Uchawi upo na Unafanyika mno.
Hivi Egypt ni wachawi sana?TZ tutafika mbinguni tukiwa vibwengo kabisa, mbona Nigeria na Egypt hawafiki popote kwa uchawi?
Enzi na enzi hao jamaa wana PhD za uchawiHivi Egypt ni wachawi sana?
Hivi Egypt ni wachawi sana?
Mtumishi Dr Matola PhD 😂Kutoka 7:22-25
Lakini wachawi wa Misri kwa kutumia uchawi wao wakafanya vivyo hivyo. Kwa hiyo moyo wa Farao ukabaki kuwa mgumu, naye hakuwasikiliza Mose na Aroni; ikawa kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amesema. Basi, Farao akarudi nyumbani kwake, na hata haya yaliyotokea hakuyajali. Wamisri wote wakachimbachimba kandokando ya mto Nili ili wapate maji ya kunywa, kwani hawakuweza kunywa maji ya mto huo. Pigo hilo la mto Nili lilidumu siku saba.
Nimesikia nauliza tuHata kama binafsi huwa namcriticize GENTAMYCINE, na najua ananichukia; ila kwa hili umevuka mipaka. Kuna haja gani ya kupromote huo ujinga tena kwa kumsingizia mtu huku ukijua kuwa ni uongo?
labda kama wewe ni mloziKwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.