Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Ngoja nikapapitie...Nimekujibu usiku wa manane kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikapapitie...Nimekujibu usiku wa manane kule
wanaume tuishi karibu sana na wake zetu, hasa hao wasio na kazi za maana. nilipokuwa nasoma chuo, nilipanga sehemu, wanawake wapangaji wa nyumba ile walikuwa wanagombania kunioshea vyombo na kunipikia chakula, sitamsahau yule mpare aliyetaka kusababisha bwanake animalize, wameolewa ila...., namshukuru Mungu alininusuru.Habari zenu ndugu zangu,
Lengo la kuleta malalamiko yangu ni kuonya wapangaji vilaza. Kuhusu wapangaji wanao shindana kufua sijui mnavaa Nini maana daily kufua afu bill tunalipa wote sawa.
Tena afungulie tap imwage hata lisaa tu ku-balance mzaniNa wewe ukirud nyumban hata kama huna kazi ya kufua chota maji umwage chini
Pole² kwake tenaPole tena
AsantePole.
Wana maneno sanaWe achia maji chooni yawe yanatiririka muda wote ama mnachangia hadi choo?
Kama ukuta wako unajitegemea otesha maua daily unamwagilia hadi maji yanatirikika kama bwawa.
Hao kuwakomoa kazi ndogo sana.
Tatizo hapa ni bei rahisiFanya utafute sehemu nyingine, au uendelee kuvumilia. Yote kwa yote, siku ukijenga mji wako, naamini hizo kero zote zitaisha.
Kweli watu Wanamatatizo sana😄 eti wanashindana kufua
Ova
Tatizo wanamaneno Sana afu wanatabia ya umbea nafanya ufuska kimya kimyaNa wewe ukirud nyumban hata kama huna kazi ya kufua chota maji umwage chini
Mimi ni 1 kwa weekNa wewe fua mkuu mkomeshane.. Au uwa hauvai nguo?
Sio hio ni elf 5Vijana Lia lia alafu bill ukute n elf 3
HahahahaDiaba mbona kidogo mkuu? Suuzia Pipa kabisa ili uwakomeshe!
Tatizo nyumba za uswahilini mashindano kibaoMwambie mwenye nyumba akufungie au ujifungie Mita yako. Kama ni huduma za Mamlaka ya maji mwambie akupelekee maombi au kama ni huduma ya Mtu binafsi hapo ni rahisi unamfuata na kujiwekea Mita Kwa kumshirikisha mwenye nyumba.
Ila inauma! Upo Bachelor kufua wikiend,alafu unakuta kila siku wapangaji wenzako wana lundo la vyombo na nguo! Bill Kwa mwezi 150k! Mnagawana pasu Kwa pasu!
ShukraniPole sana mkuu
Uku Kodi bei rahisiHama